Kumbe Tanzania na Uganda tuna Ubia Sawa kwenye Bomba la Mafuta wa 15% kila nchi, Total Energy ana 60+% RIP Shujaa Magufuli

Umepigwa nini sasa? Na utajiingizia pesa?

Unafikiri wangelipitisha Kenya, wanaolitamani kweli kweli, ungepata nini zaidi ya mashuzi ya wanaoshiba tu.

Tena tujichunge sana na Wakenya na hilo bomba wanaweza kufanya sabotage maana walinyang'ànywa tonge mdomoni.
We ajuza sijui kama huwa una akili timamu mali yako upata 15% mwekezaji anabeba 60% ni akili au matope? nipe mfano wa nchi nyingine ambayo imefanya huu ujinga?
 
Kwani hayo mafuta ni yetu? Hayo ni ya Uganda na ardhi ambapo bomba linapita Tanzania watalipwa raia hivyo sioni kama Tanzania tumepigwa labda kama kupigwa basi Uganda ndio waliopigwa
Mkuu tunawajibu wa kulinda miundombinu ya mwekezaji na kwa sehemu kubwa bomba limepita kwetu tena kutoka kwenye bandari yetu, bado huoni kama sisi tulipaswa tuchukue 51%?
 
Kama ni ule mradi wa HOIMA-TANGA waandaa mikataba nadhani Hua Kuna kitu wanapewa maana haiwezekani kuchukua share ya asilimia 15 tu ni ndogo sana bora tungechukua 30 kwa pande mbili mwekezaji achukue 40 hapo ingeleta maana kidogo
 
We ajuza sijui kama huwa una akili timamu mali yako upata 15% mwekezaji anabeba 60% ni akili au matope? nipe mfano wa nchi nyingine ambayo imefanya huu ujinga?
Chadema

Ina Wabunge 20

Lakini Wao wanamiliki 5% ya Wabunge hao huku CCM ikimiliki 95%

Walichofanya Chadema ni zaidi ya matope ni yale Maji machafu yanayomwagwa baharini

J J naniliu Mungu anakuona ujue!
 
Nimeona kwenye makala hapa BBC kwamba kwenye Bomba la Mafuta la Uganda hadi Tanga Sisi Tanzania tuna 15% Sawa na Uganda

Hongera Kwake Prof Kabudi

RIP Shujaa Magufuli
we bwege kamfuate huyo lofa mshamba wenu aliko. Hayo madudu yeye ndio aliyaandaa. Yule mshamba aliwapumbaza mazuzu km wewe. Bila hata haya R.IP mtu aliyeharibu hii nchi. Yule anatumikia adhabu ya kaburi ingawa tunazuiliwa kumhukumu binadamu mwenzetu. Yule aliuua sana, alitesa watu, alikuwa katili, alikuwa fisadi hawezi ku-R.IP kamwe.
 
Back
Top Bottom