Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

=== Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia...
27 Reactions
251 Replies
19K Views
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweza kuiunganisha Zanzibar kwa kuimarisha, kuboresha na kujenga upya...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa...
9 Reactions
107 Replies
5K Views
Ni ibadani KKKT Kimara ambapo Spika wa Bunge la JMT mh Dr Tulia PhD amejumuika na Wakristo wenzake Jumapili Hii ya Kwanza ya Majilio Mchungaji Matsahi amemtaka Dr Tulia PhD kuwa karibu zaidi na...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
1. Ni kwa mara ya kwanza nafasi ya Katibu mkuu wa chama inapiganiwa (Scramble) na makundi mbalimbali. Hapo kabla utamaduni huu haukuwepo, tulizoea mabadiliko yasiyo ya kimapambano jambo ambalo...
7 Reactions
53 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kulingana na namna dkt Tulia alivyoongea kwa uchungu hisia kali na maumivu makali juu ya kile kinachoendelea kule mashariki ya kati,na kupelekea vifo vya watu na mateso...
5 Reactions
150 Replies
9K Views
SEREKALI KUAJIRI WATUMISHI ELFU KUMI NA TATU SEKTA YA AFYA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri watumishi elfu 13 katika sekta ya afya ili...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
KINANA:NI MUHIMU KWA VIONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA KUWASIKILIZA MABALOZI WETU WA NYUMBA KUMIKUMI. === Asema mabalozi ndio wanaojua kero na faraja za wananchi nchini Makamu Mwenyekiti Wa...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari njema ni kuwa shirika la ujasusi la Marekani CIA(central intelligence Agency) pamoja na habari zingine kupitia mtandao wake wa INSTAGRAM limeweka picha na muonekano...
11 Reactions
162 Replies
8K Views
Nimeambiwa Ujumbe wetu huko Climate change Dubai ni Watu 700+ Ndio nauliza Chama Kikuu cha Upinzani kimetuwakilisha huko? Ahsanteni 😀
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Serikali imesema karibu nusu ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), umegharamiwa na sekta binafsi. Ufafanuzi huo, umekuja baada ya juzi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
DC Kyobya Dunstan wa Kilombero ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho kipya na kuwasha umeme Ifakara. Kituo hicho kilichogharimu Bilioni 25 ni maalumu Kwa Ajili ya kuleta umeme mkubwa...
1 Reactions
4 Replies
608 Views
ANAYEKUTAWALA AMEKUZIDI AKILI Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Ukiona mtu amekuzidi na kukutawala kisiasa, kiuchumi, kijamii au kiteknolojia basi fahamu kabisa mtu au jamii hiyo imekuzidi...
27 Reactions
139 Replies
6K Views
Kuna mambo huwa yanafanywa na baadhi ya viongozi wetu, mpaka unajiuliza tunaongozwa na watu wa namna gani! Maana ni kama hata kwenye kile kiwango cha akili ya kawaida, hawamo. Nchi zetu hizi...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi)...
22 Reactions
218 Replies
31K Views
Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom