Hoja za mwalimu aliyeomba kusitishwa kwa sherehe za walimu Disemba 13, ambazo zinatumia bilioni 7

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
● Tarehe ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu duniani ni tarehe 05 Oktoba, ambapo duniani kote iliadhimishwa na Chama cha Walimu Tanzania ikiwa ni sehemu ya Wataalam na wasomi kufanya maadhimisho tofauti na siku maalum iliyopitishwa kimataifa ni kuitweza taaluma ya ualimu.

● Kiwango kikubwa cha bajeti kilichopangwa kutumika katika sherehe hizo kinachokadiriwa kuwa zaidi ya billion 7 ni kikubwa sana kwa uwiano wa matumizi ya kawaida katika bajeti ya Chama kulinganisha na pato la chama.

● Kuadhimisha kumbukizi ya miaka 30 ya kuanzishwa kwa Chama cha Walimu Tanzania kwa kutumia kituo kimoja cha Jiji la Mwanza na kuacha miji mingine yote haina shughuli yoyote (kutokuhusishwa) hakuna tija yoyote.

● Kufanyika kwa sherehe hizo wakati Watumishi wa Chama wakiwa na madai yao ambayo hayajalipwa hadi sasa yahusuyo stahiki mbalimbali kama uhamisho, likizo, matibabu, misiba na Malimbikizo ya michango na tozo.

● Kushindwa kuendeleza miradi ya ujenzi wa ofisi cha Chama ngazi ya Wilaya ulioanzishwa na ofisi kwa kupewa ruzuku na Ofisi makao makuu.

● Kitendo cha kusitisha uendelezaji wa miradi hiyo yenye tija kwa Walimu moja kwa moja na fedha kutumika katika matumizi ya sherehe inatafsirika kama matumizi mabaya ya fedha za Chama.

● Kukosekana kwa elimu kwa Wanachama yenye kuwaelimisha mambo mbalimbali yahusuyo stahiki zao katika utumishi kwa sababu za kukosekana kwa fedha wakati fedha zinapangiwa matumizi ya sherehe ni matumizi mabaya ya fedha za wanachama.

● Uwepo wa deni kubwa la malipo ya mkono wa kwa heri kwa walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania waliostaafu Ifahamike kuwa kuna Walimu waliostaafu mwaka 2018,2019,2020,2021, 2022 na 2023.

● Uwepo wa deni kubwa la Mawakili waliotoa huduma ya utetezi kwa Walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania.
 
Vile waalimu tuwajuavyo n watii ,hawawezi kususa Kwa chcht kilé maaana njaaa imegeuka kuwa rafiki wa kudumu kwao..
 
Kazi ya bunge? Hawana wawakilishi? Si bora wagawe kila mmoja apate chenji yake? Au wahusika washauli ifanyiwe nini!
 
Kuna viongozi,kila fursa ikitokea,lazima wanunue hata RAV4,kwa hali hiyo,siyo. rahisi kusitisha hiyo sherehe,maana kuna wadau wana mgawo wao hapo.
 
● Tarehe ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu duniani ni tarehe 05 Oktoba, ambapo duniani kote iliadhimishwa na Chama cha Walimu Tanzania ikiwa ni sehemu ya Wataalam na wasomi kufanya maadhimisho tofauti na siku maalum iliyopitishwa kimataifa ni kuitweza taaluma ya ualimu.

● Kiwango kikubwa cha bajeti kilichopangwa kutumika katika sherehe hizo kinachokadiriwa kuwa zaidi ya billion 7 ni kikubwa sana kwa uwiano wa matumizi ya kawaida katika bajeti ya Chama kulinganisha na pato la chama.

● Kuadhimisha kumbukizi ya miaka 30 ya kuanzishwa kwa Chama cha Walimu Tanzania kwa kutumia kituo kimoja cha Jiji la Mwanza na kuacha miji mingine yote haina shughuli yoyote (kutokuhusishwa) hakuna tija yoyote.

● Kufanyika kwa sherehe hizo wakati Watumishi wa Chama wakiwa na madai yao ambayo hayajalipwa hadi sasa yahusuyo stahiki mbalimbali kama uhamisho, likizo, matibabu, misiba na Malimbikizo ya michango na tozo.

● Kushindwa kuendeleza miradi ya ujenzi wa ofisi cha Chama ngazi ya Wilaya ulioanzishwa na ofisi kwa kupewa ruzuku na Ofisi makao makuu.

● Kitendo cha kusitisha uendelezaji wa miradi hiyo yenye tija kwa Walimu moja kwa moja na fedha kutumika katika matumizi ya sherehe inatafsirika kama matumizi mabaya ya fedha za Chama.

● Kukosekana kwa elimu kwa Wanachama yenye kuwaelimisha mambo mbalimbali yahusuyo stahiki zao katika utumishi kwa sababu za kukosekana kwa fedha wakati fedha zinapangiwa matumizi ya sherehe ni matumizi mabaya ya fedha za wanachama.

● Uwepo wa deni kubwa la malipo ya mkono wa kwa heri kwa walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania waliostaafu Ifahamike kuwa kuna Walimu waliostaafu mwaka 2018,2019,2020,2021, 2022 na 2023.

● Uwepo wa deni kubwa la Mawakili waliotoa huduma ya utetezi kwa Walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania.
NDUNGU ZANGU WATANZANIA MTANIKUMBUKA, KWA MEMA
 
Nashauri bajeti hiyo ya 7 B ilipe hao walimu stahiki zao kuliko sherehe 😁😁😁
 
TAKUKURU wachunguze jambo hili kuna harufu ya utakatishaji wa fedha.

Back
Top Bottom