Askofu Gamanywa: Tanzania tulianza kupata matatizo 1973 baada ya kuvunja uhusiano na Israel na tukapata nafuu alipokuja Hayati Magufuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,134
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
 
Amesahau nchi zote tajiri za kiarabu haziitambui israel na aliyefungua ubalozi wa israel hapa tanzania mungu alimpenda baada ya muda mfupi, mwambie askofu apunguze bangi na aache fikra za kitumwa, africa kusini leo imewapeleka israel icc na ndio nchi yenye uchumi mkubwa africa
 
Maarifa ni jambo la kipekee
Israel au wayahudi ni watu wa kawaida tu

Kiimani mlango ni Yesu wala huhitaji gatepass ya hao jamaa

Kwanza Kristo alisema ufalme wake sio wa Ulimwngu huu

Kila mtu apambane kupata maarifa
Hao wayahudi wana kisanga chao na bongo land uchumi unakaba koo

Mimi nahaika na mlango wa kondoo ambae ni Yesu sio hao watu wa dini na matorati watakupoteza wana motive zao
 
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia

Askofu Prof Gamanywa amesema kwanza aliyachukua Mataifa 10 yenye Uchumi bora duniani na kuangalia Uhusiano wao na Israel ambayo ni Marekani, China, Japan, German, UK, France, India, Italy, Brazil na Canada

Alichogundua ni kwamba nchi hizo zote zina mahusiano mema na Israel ambapo kwa mfano 70% ya Wawekezaji wa Marekani ni Wayahudi, China ina Viwanda zaidi ya 1000 vya Wayahudi, India ni mnunuzi mkuu wa Silaha za Israel (50%), Ujerumani inaongoza kwa kuuza bidhaa za Israel barani Ulaya nk...nk

Hizo zote ni Baraka Nchi hizo tajiri duniani zinapata kwa sababu ya kuibariki Israel

Askofu Gamanywa amesema Tanzania ilianza kuharibikiwa baada ya kuvunja Uhusiano na Israel Ndio Vita ya Kagera, Njaa, Umaskini, Utapeli vikatuandama hadi pale Rais wa awamu ya 5 aliporejesha Uhusiano na Israel Ndio tukaingia kwenye Uchumi wa Kati ikiwa ni Baraka za kuibariki Israel

Baba askofu amesema Usipoibariki Israel utalaaniwa tu na hiyo haina Mbadala

Source: WAPO TV
Ila moja ya wanajukwaa wanafiki ni wewe
 
Kweli kabisa! 💯
 
Amesahau nchi zote tajiri za kiarabu haziitambui israel na aliyefungua ubalozi wa israel hapa tanzania mungu alimpenda baada ya muda mfupi, mwambie askofu apunguze bangi na aache fikra za kitumwa, africa kusini leo imewapeleka israel icc na ndio nchi yenye uchumi mkubwa africa
Amesema Waarabu Wana Baraka za Ishmael ndio sababu Nchi za Africa zikijipendekeza kwa Waarabu na kuilaani Israel zenyewe ( nchi zinazojipendekeza) ndio huwa zinalaaniwa huku Waarabu wakidunda tu!
 
Amesahau nchi zote tajiri za kiarabu haziitambui israel na aliyefungua ubalozi wa israel hapa tanzania mungu alimpenda baada ya muda mfupi, mwambie askofu apunguze bangi na aache fikra za kitumwa, africa kusini leo imewapeleka israel icc na ndio nchi yenye uchumi mkubwa africa
Nchi gani ya kiarabu tajiri? Taja katika nchi 10 tajiri kama kuna nchi ya kiharabu! Haya twende kwenye nchi 20 tajiri kama kuna nchi ya kiarabu!
 
Muwe mnatembea ili mjifunze sio kukaririshwa , nenda qatar leo ukaone wazungu wanavyopigishwa kazi, halafu nenda israel ndio utajua hela huwa haijifichi, wazungu walivyoenda kombe la dunia hawakuamini walichokiona
 
Attachments

  • Screenshot_20231202-115306_Chrome.jpg
    Screenshot_20231202-115306_Chrome.jpg
    135 KB · Views: 1
Amesahau nchi zote tajiri za kiarabu haziitambui israel na aliyefungua ubalozi wa israel hapa tanzania mungu alimpenda baada ya muda mfupi, mwambie askofu apunguze bangi na aache fikra za kitumwa, africa kusini leo imewapeleka israel icc na ndio nchi yenye uchumi mkubwa africa
Kupendwa na Mungu ni baraka, Afrika Kusini itakiona cha mtema kuni, muda bado
 
Nchi gani ya kiarabu tajiri? Taja katika nchi 10 tajiri kama kuna nchi ya kiharabu! Haya twende kwenye nchi 20 tajiri kama kuna nchi ya kiarabu!
Jitahidi kutembea ujionee dunia kwa upande mwingine wazungu hawakuamini kama ronaldo na neymar wanaweza kucheza saudi arabia ila imewezekana , sasahivi michezo yote mikubwa kama ngumi inafanyika uarabuni na timu zote kubwa ulaya zinanunuliwa na muarabu kwa gharama yoyote mtake msitake hiyo ndio maana ya nguvu ya pesa
 
Kupendwa na Mungu ni baraka, Afrika Kusini itakiona cha mtema kuni, muda bado
Mungu ni wa wote sio wa wa israel peke yake hapo ndio mlipolishwa matango pori, hadi leo qatar ,na saudi arabia hawaitambui israel vipi unaionaje hali yao ya kiuchumi? Muulize christiano ronaldo atakwambia, na 2034 saudi arabia atahost worldcup subiri balaa yake utaiona ile ya qatar cha mtoto ingawa wazungu walipagawa
 
'Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our minds!. ' –Marcus Garvey
 
Mungu ni wa wote sio wa wa israel peke yake hapo ndio mlipolishwa matango pori, hadi leo qatar ,na saudi arabia hawaitambui israel vipi unaionaje hali yao ya kiuchumi? Muulize christiano ronaldo atakwambia, na 2034 saudi arabia atahost worldcup subiri balaa yake utaiona ile ya qatar cha mtoto ingawa wazungu walipagawa
Saudia, Uturuki, Morocco, Egypt, Jordan n.k walikuwa na msimamo mkali sana dhidi ya Israel hadi kuivamia mara 2 na kushindwa, lakini baadaye ikawaje? Waliitambua Israel na hadi kuanzisha balozi zao huko
Sasa hivi ndio wnajifanya wanataka kususa tena, ila watarudi tena....😂😂
 
Back
Top Bottom