Waziri Mchengerwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uwasilishaji wa Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Vunjo

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
34
30
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (WN-OR TAMISEMI) Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa (MB) 'Mtu Kazi' atakuwa mgeni rasmi katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo zilizoahidiwa katika ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Vunjo kufuatia mwaliko wa Mbunge wa Jimbo hilo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei.

Itakuwa ni tarehe 12/12/2023 katika ukumbi wa Kilacha.

#SiasaNiMaendeleo #MaendeleoKwaVitendo
#TeamMaendeleo #SamiaNaKimei #SisiNaSamia #SisiNaKimei #CCMTena #VitendoVinaSauti #KaziIendelee #MchengerwaMtuKazi View attachment 2833717

IMG-20231205-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom