Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi.
Ni...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino katika shughuli ya kupokea hundi ya msaada wa waathirika wa mafuriko ya Hanang ambayo mpaka sasa yamepelekea vifo vya...
Rais Samia: "Ukiwa public figure usipoonekana lazima watu wajiulize"
Kwa kulijua hilo ulikuwepo ulazima ws sisi wananchi kujulishwa alipo mtumishi wetu ambaye hayupo kwenye nafasi hiyo kwa ajili...
Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ.
Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye...
Habari wanajamvi.
Moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu...
Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida.
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya...
Raisi aliunda tume nazania iliongozwa na Wabobezi wakina Jaji mstafu,yule IGP mstafu Said Mwema na wengineo.
Tume ilikudanya maoni na ikaandas report na kukabidhi,na tukaambiwa kuna baadhi ya...
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake...
Aisee hata kama ni kujipendekeza kwa kiongozi kuna "stage" inafikia unaonekana kituko mbele za watu. Hebu mwangalieni huyu waziri wa Samia hapo kwenye picha.
Mwenyezi Mungu asifiwe sana. Hakika anastahili sifa, utukufu, heshima na adhama kwa matendo yake makuu.
Leo ninefarijishwa sana baada ya kumuona Makamu wa Rais Dr. Phillip Mpango akiwa ni mzima...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na mtoto wa Amiri wa zamani wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Makumbusho ya Taifa Mhe. Sheikha Al...
Makam wa Rais amejitokeza hadharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana...
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa wananchi ni wadau muhimu sana katika mapambano dhidi ya vita hiyo.
Ametoa wito huo leo...
Naandika kwa kuitumia Ibara ya 18 ya Katiba ya mwaka 1977 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imetoa haki kwa wananchi kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na...
Anatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa 9 alasiri leo Alhamis. Ndege ni Emirates.
Update 1:
====
Habari zilizopatikana punde tu zinasema ratiba ya ujio wa CDF Mwamunyange...
Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.