Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,Simba wa nyika, komandoo wa vita,Nuru ya wanyonge,mama wa huruma na upendo, mzalendo wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Qatar, Mhe. Mohammed bin Ali Al Mannai na ujumbe wake...
Wasaalam!
Mabibi na Mabwana kabla ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, lakini pia kwa kuniwezesha kuandika machache hapa.
Pili niombe sana Mods msifute, wala kuunganisha uzi huu...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 9, leo Novemba 9, 2023.
https://www.youtube.com/live/d74-_zXnZIk?si=M_m4G8t5O8KfjkpO
Wabunge wamchangia fedha Profesa Jay
Wabunge...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya...
MBUNGE JAFARI WAMBURA ATAKA MATUMIZI BORA YA ARDHI YAPANGWE ILI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Chanzo cha migogoro ya Ardhi nchini mojawapo ni kupitwa kwa Sera ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi.
Ameyasema hayo...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza...
Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya...
Huenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na...
Mpaka sasa hakuna chama mbadala wa CCM, CCM imekita mizizi yake pote hadi vijijini ndani ndani. CCM ina viongozi wengi ambao ni Presidential material.
Hata leo uchaguzi ungefanyika wako wengi...
Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off.
This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output...
Kwanza naomba ifahamike kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa siasa na sera za Magufuli na ninaamini ndie kiongozi Bora kuwahi kuwepo Tanzania na Afrika kwa miaka ya karibuni.
Kwa miaka mitano...
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya...
Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.
Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na...
HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. KULIKOYELA K.KAHIGI (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI OFISI YA RAIS, KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2011/2012 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI...
Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi...
Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi.
Ni...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino katika shughuli ya kupokea hundi ya msaada wa waathirika wa mafuriko ya Hanang ambayo mpaka sasa yamepelekea vifo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.