Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAWAANDIKIA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI. Ndugu zangu vijana wafuasi wa chama cha mapinduzi mmethibitisha kwa kiwango kikubwa kwamba either wengi wenu ni wanafiki, ama hamjui mnachokifuata au...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana. Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole...
28 Reactions
102 Replies
10K Views
Tatizo la Wizara ya ujenzi imekuwa mapepe sana. Sasa wanataka kubinafishisha reli. Je, pesa ya ujenzi itarudi vipi, matengenezo. Ni jitihada za kutengeneza mianya ya rushwa. Yaani Watanzania...
3 Reactions
6 Replies
708 Views
Kazi maalum. Naam imethibitika pasi na Shaka kwamba Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Mpango alikuwa nje ya Nchi Kwa zaidi ya mwezi mzima Kwa kazi maalum (special mission). Tangu nimfahamu Dr Mpango...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Msemaji wa Serikali amesema Wananchi wa Hanang katika mji mdogo wa Katesh, na vitongoji vyake, mji mdogo wa Kateshi walisikia kelele ambazo walifananisha kama gari moshi likipita kwa kasi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamanda naomba ufafanuzi kama ile Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu, bado ipo? Maana huku kanda ya Nyasa tumewasubiri MNO. Sabato Njema 😄
-2 Reactions
26 Replies
1K Views
Karibu Nyumbani VP Mpango na Mshukuru Mungu Kwa kupona. Nimemsikiliza Makampuni wa Rais Dkt. Mpango akisikitika na kuonesha kutopendezwa na taharuki iliyokuwepo.kuhusu Afya yake hasa Kwa Baadhi...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha...
17 Reactions
48 Replies
4K Views
Wiki hii imekuwa ya majonzi makubwa, ambapo Watanzania wenzetu zaidi ya 60 huko Hannang wamepoteza maisha, mamia wameumia. Lakini pia wapo walionusurika ambao maisha yao yamevurugwa na majanga...
20 Reactions
50 Replies
5K Views
Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama...
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Mhe. Philip Mpango waliotumia mitandao vibaya wasamehe kwani wao waliamini kwenye kile walichosikia. Lakini pia yawezekana kabisa waliotumia mitandao ya kijamii vibaya wamefanya kazi ya Mungu...
1 Reactions
5 Replies
935 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na...
30 Reactions
113 Replies
11K Views
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli. Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Anaandika Jokate kupitia twitter. "UWT kwa kutambua waathirika wakubwa wa majanga kama haya ni akina mama na watoto, leo tumefanya kikao cha dharula na kuanza zoezi la kutafuta vifaa vya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 21 la Doha (Doha Forum) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
https://tanesco.tz.onrecruit.site/?m=1#1702207336312 Hawa watu mnaweza mka deal nao mara moja lakini mnafikiria mengine.....
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Katika kitu cha kijinga kinachofanywa na watu wa siasa za upinzani na kuzifanya tetesi za kifo za kiongozi fulani au kifo cha kiongozi fulani kuwa siasa zao na kampeni zao. Unamkuta mtu...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Hali ya uchumi kidogo siyo nzuri, miradi mikubwa imesimama na baadhi imeenda beyond time kwa sababu hakuna fedha. Speed ya ujenzi wa miundombinu mfano barabara imeshuka sana; mfano taarifa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom