Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA)...
Uchumi wa Tanzania bado ni Imara Gharama za Kuendesha serikali ikiwemo Mishahara inalipika Bila shida tena kwa Wakati. Tatizo dogo liko kwenye miradi na hii iko hivyo duniani kote hadi Marekani...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuanza ugawaji wa Vitambulisho (Kadi) kwa Wananchi waliojisajili na kupewa Namba za Utambulisho (NIN) katika Mikoa ya Dar na Mbeya hapo Desemba...
KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI
"Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama...
Gazeti la the Guardian la jana tarehe 28 Februari, limeandika kwa kirefu kuhusiana na janga la Covid 19 nchini mwetu Tanzania. Kwa ufupi, kutokana na mahojiano yaliyofanyika na madaktari na...
Inaelezwa kwamba Kuna watu ambao hawajatajwa waliopeleka malalamiko ya Haki zao kukiukwa Kupitia mradi wa kukuza Utalii Kusini REGROW ambao unalenga Kuimarisha miundombinu ya Utalii na maisha ya...
CCM wanaila nchi hii kama mchwa waliokula bakora ya Nabii Solomon.
Tukubali jina La CCM "Chukua chako Mapema" linaendelea kutumaliza kama ni kidonda basi CCM ni donda ndugu.
Ila Rais Samia...
Daktari Philip Isdor Mpango, habari? Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali Hili...
Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi.
Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa...
Huo ndio Ukweli' hutaki acha
Wanasiasa Watawala fikra zao zinakuwa kibinafsi zaidi kwa sababu kama Maono ya Chama yalishawekwa kitambo basi wewe utapigania Maono ya Maslahi Yako binafsi
Ukiwa...
Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi...
Nimewaza sana maneno ya Nape leo ya kumshambulia Lissu kuwa amemtukana Rais Samia.
Yes , ni kweli ametumia maneno mabaya sana kwa Rais , lakini of all people Nape huwezi kusimama kukemea tabia za...
Amani iwe nanyi nyote.
Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo...
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.
Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA...
Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu.
Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema;
"Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema...
2015 Nape alimtusi mzee Lowasa kwamba ni mgonjwa na kwamba ikulu anapotaka kwenda sio wodi ya wagonjwa.
2022 Nape alifurahia kifo cha Magufuli wakati akimkaribisha Membe ndani ya chama. Nape...
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X
Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba...
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi...
Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.