Manyara: Marekani yachagia mchango wa Dola laki moja kwa maafa ya Hanang

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia inaendelea kusimama nasi, inaendelea kutufuta machozi, inaendelea kutupatia faraja na kutufariji, Inaendelea kutushika mkono, inaendelea kutupatia ushirikiano, inaendelea kutuonyesha upendo na ukarimu,Inaendelea kutuondolea upweke,huzuni,majonzi na simanzi ya kupoteza ndugu zetu kupitia maporomoko ya udongo kule hanangi ambayo yamechukua roho za watanzania wenzetu 76.

Baada ya wadau mbalimbali kutuchangia imekuwa zamu ya Marekani Taifa kubwa Duniani kiuchumi ,kijeshi,kiteknolojia n.k. ambapo limeweza kutuchangia dollar laki moja ambazo ni sawa na Zaidi ya million mia mbili hamsini pesa za kitanzania. Ambapo balozi wa Marekani nchini Tanzania mh Michael Battle ametoa pole sana kwa watanzania kwa msiba huo mkubwa uliolikumba Taifa letu.

Lakini pia Balozi huyo amesema kuwa ubalozi wa Marekani unaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana kinachoendelea kule Hanang na kwamba itatoa na kuendelea kutoa misaada kwa kadri hali itakavyokuwa. Amesema kuwa Tanzania ni Rafiki mkubwa sana wa Marekani.

Ndugu zangu watanzania tuendelee kuwa watulivu na kuwaombea sana ndugu zetu waliopoteza wapendwa wao ili Mungu awape subira na kuwatia nguvu.kufiwa au kupoteza ndugu au mwana familia inauma sana .hivyo tunatambua maumivu makubwa waliyonayo wenzetu wa Hanang na ndio maana hatuna budi kuendelea kuwaombea na kuwasaidia kwa hali na mali.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia inaendelea kusimama nasi, inaendelea kutufuta machozi, inaendelea kutupatia faraja na kutufariji, Inaendelea kutushika mkono, inaendelea kutupatia ushirikiano, Inaendelea kutuondolea upweke,huzuni,majonzi na simanzi ya kupoteza ndugu zetu kupitia maporomoko ya udongo kule hanangi ambayo yamechukua roho za watanzania wenzetu 76.

Baada ya wadau mbalimbali kutuchangia imekuwa zamu ya Marekani Taifa kubwa Duniani kiuchumi ,kijeshi,kiteknolojia n.k. ambapo limeweza kutuchangia dollar laki moja ambazo ni sawa na Zaidi ya million mia mbili hamsini pesa za kitanzania. Ambapo balozi wa Marekani nchini Tanzania mh Michael Battle ametoa pole sana kwa watanzania kwa msiba huo mkubwa uliolikumba Taifa letu.

Lakini pia Balozi huyo amesema kuwa ubalozi wa Marekani unaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana kinachoendelea kule Hanang na kwamba itatoa na kuendelea kutoa misaada kwa kadri hali itakavyokuwa. Amesema kuwa Tanzania ni Rafiki mkubwa sana wa Marekani.

Ndugu zangu watanzania tuendelee kuwa watulivu na kuwaombea sana ndugu zetu waliopoteza wapendwa wao ili Mungu awape subira na kuwatia nguvu.kufiwa au kupoteza ndugu au mwana familia inauma sana .hivyo tunatambua maumivu makubwa waliyonayo wenzetu wa Hanang na ndio maana hatuna budi kuendelea kuwaombea na kuwasaida kwa hali na mali.

Mwenyezi Mungu awazidishie marekani na wengineo, moyo wa huruma na utoaji.

Awazidishie Baraka na Neema pale walipopunguza na kutoa kwaajili ya ya kuwafariji na kuwasitiri waathirika wa mafuriko ya matope huko Hanang...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia inaendelea kusimama nasi, inaendelea kutufuta machozi, inaendelea kutupatia faraja na kutufariji, Inaendelea kutushika mkono, inaendelea kutupatia ushirikiano, Inaendelea kutuondolea upweke,huzuni,majonzi na simanzi ya kupoteza ndugu zetu kupitia maporomoko ya udongo kule hanangi ambayo yamechukua roho za watanzania wenzetu 76.

Baada ya wadau mbalimbali kutuchangia imekuwa zamu ya Marekani Taifa kubwa Duniani kiuchumi ,kijeshi,kiteknolojia n.k. ambapo limeweza kutuchangia dollar laki moja ambazo ni sawa na Zaidi ya million mia mbili hamsini pesa za kitanzania. Ambapo balozi wa Marekani nchini Tanzania mh Michael Battle ametoa pole sana kwa watanzania kwa msiba huo mkubwa uliolikumba Taifa letu.

Lakini pia Balozi huyo amesema kuwa ubalozi wa Marekani unaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana kinachoendelea kule Hanang na kwamba itatoa na kuendelea kutoa misaada kwa kadri hali itakavyokuwa. Amesema kuwa Tanzania ni Rafiki mkubwa sana wa Marekani.

Ndugu zangu watanzania tuendelee kuwa watulivu na kuwaombea sana ndugu zetu waliopoteza wapendwa wao ili Mungu awape subira na kuwatia nguvu.kufiwa au kupoteza ndugu au mwana familia inauma sana .hivyo tunatambua maumivu makubwa waliyonayo wenzetu wa Hanang na ndio maana hatuna budi kuendelea kuwaombea na kuwasaida kwa hali na mali.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Duh!!!! Umeandika makala ndeeeefu kuelezea mchango wa dola laki kutoka USA. Kweli uchawa kazi
 
Kuna kunguru wanazisubir kwa ham

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Zitafikia katika mikono salama kutokana na utaratibu mzuri uliowekwa na serikali yetu. Na pia serikali ipo makini sana katika kuhakikisha kuwa fedha zote na misaada yote inawanufaisha wahanga na siyo watu binafsi wasio husika wala kuwa walengwa.
 
Tuwashukuru ila hiyo pesa kwangu ni Dharau.

Ukizingatia kwa ukubwa wa kiuchumi wa Wamarekani pamoja na utu wanaotuuzia hapa Duniani mhh! Kwa taarifa yako ni juzi kati tu Nchini mwao walikusanya Bilioni $3 na ushee kwa kile wanachokiita "giving tuesday"
...labda wao wanahitaji zaidi.

Hili janga lingetokea eneo lolote Marekani(muumba awaepushe), naku hakikishia haki ya hanang tena, ungesikia hasara iliyotokea ni ya mabilioni ya Dollar!

Kwa eneo la mraba huo huo na kwa idadi ya watu hao hao, na kwa idadi ya nyumba hizo hizo na hata kwa idadi ya miundombinu hiyo hiyo... yaani kwa idadi ya athari za kijamii na kiuchumi hizo, tungesikia athari za janga hilo ni la mabilioni... Laki moja kweli? Hisyo si inatoka acct ya CHADEMA tu, au kutoka kwa Bilionea Mbowe au Bilionea Sugu au Bilionea ....na mabilionea wengi tu....ila sie sio Wamarekani

Hata hivyo huwa wanakamsemo kao huko "A beggar is not a chooser"

Tuupokee tu🙏🙏
 
Tuwashukuru ila hiyo pesa kwangu ni Dharau.

Ukizingatia kwa ukubwa wa kiuchumi wa Wamarekani pamoja na utu wanaotuuzia hapa Duniani mhh! Kwa taarifa yako ni juzi kati tu Nchini mwao walikusanya Bilioni $3 na ushee kwa kile wanachokiita "giving tuesday"
...labda wao wanahitaji zaidi.

Hili janga lingetokea eneo lolote Marekani(muumba awaepushe), naku hakikishia haki ya hanang tena, ungesikia hasara iliyotokea ni ya mabilioni ya Dollar!

Kwa eneo la mraba huo huo na kwa idadi ya watu hao hao, na kwa idadi ya nyumba hizo hizo na hata kwa idadi ya miundombinu hiyo hiyo... yaani kwa idadi ya athari za kijamii na kiuchumi hizo, tungesikia athari za janga hilo ni la mabilioni... Laki moja kweli? Hisyo si inatoka acct ya CHADEMA tu, au kutoka kwa Bilionea Mbowe au Bilionea Sugu au Bilionea ....na mabilione wengi tu....la sie sio Wamarekani

Hata hivyo huwa wanakamsemo kao huko "A beggar is not a chooser"

Tuupokee tu🙏🙏
Wameahidi kuendelea kuchangia zaidi ya hicho walichotoa na kwamba huo ni mwanzo tu na kwamba wanaendelea kufuatilia hali inayoendelea kula Hanang
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dunia inaendelea kusimama nasi, inaendelea kutufuta machozi, inaendelea kutupatia faraja na kutufariji, Inaendelea kutushika mkono, inaendelea kutupatia ushirikiano, Inaendelea kutuondolea upweke,huzuni,majonzi na simanzi ya kupoteza ndugu zetu kupitia maporomoko ya udongo kule hanangi ambayo yamechukua roho za watanzania wenzetu 76.

Baada ya wadau mbalimbali kutuchangia imekuwa zamu ya Marekani Taifa kubwa Duniani kiuchumi ,kijeshi,kiteknolojia n.k. ambapo limeweza kutuchangia dollar laki moja ambazo ni sawa na Zaidi ya million mia mbili hamsini pesa za kitanzania. Ambapo balozi wa Marekani nchini Tanzania mh Michael Battle ametoa pole sana kwa watanzania kwa msiba huo mkubwa uliolikumba Taifa letu.

Lakini pia Balozi huyo amesema kuwa ubalozi wa Marekani unaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana kinachoendelea kule Hanang na kwamba itatoa na kuendelea kutoa misaada kwa kadri hali itakavyokuwa. Amesema kuwa Tanzania ni Rafiki mkubwa sana wa Marekani.

Ndugu zangu watanzania tuendelee kuwa watulivu na kuwaombea sana ndugu zetu waliopoteza wapendwa wao ili Mungu awape subira na kuwatia nguvu.kufiwa au kupoteza ndugu au mwana familia inauma sana .hivyo tunatambua maumivu makubwa waliyonayo wenzetu wa Hanang na ndio maana hatuna budi kuendelea kuwaombea na kuwasaida kwa hali na mali.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwa nini Serikali inapokea fedha kutoka kwa mashoga?Kila siku tunajulishwa kwamba tuwakatae Marekani kwa sababu inahamasisha ndoa za jinsia moja.
 
Zitafikia katika mikono salama kutokana na utaratibu mzuri uliowekwa na serikali yetu. Na pia serikali ipo makini sana katika kuhakikisha kuwa fedha zote na misaada yote inawanufaisha waganga na siyo watu binafsi wasio husika wala kuwa walengwa.
Wewe kweli hamnazo, serikali hii ya CCM iliyojaa mchwa bado unaiamini kwenye swala la fedha? Ni wewe huyohuyo ulipiga kelele wakati bunge linajadili ripoti ya CAG, na wezi hadi leo hawajashughulikiwa, inaendelea kuwa na imani na watu haohao?

Dola laki moja kwa taifa kama Marekani ni dhihaka wala hii makala ndefu haina maana.
 
U
Basi wahanga tutapata vibiriti na pakti za chumvi sio mbaya....kwa viongozi hapo kuna wale hawakuwa na mavieite ya 200m mbona yatanunuliwa
Kama hiyo hapo....
screenshot_2023-12-07-22-16-38-1-png.2836043
 
Back
Top Bottom