Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,590
8,476
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
R.I.P Magufuli
 
Mwendazake kwanini alikurupuka kusaini mikataba huku akijua hamna hela??
Au ndio alikuwa anatafuta kiki
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
Watu wanasema awamu hii imekopa sana pia waseme ndiyo awamu iliyojenga sana!
By chief.
 
Back
Top Bottom