Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia maelezo ya waziri na maafisa wengine wa wizara kuhusu mabadiliko ya mitaala ya elimu sijaona jipya zaidi ya ubabaishaji tu na kupiga posho kupitia semina uchwara. Hakuna changamoto...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya...
48 Reactions
905 Replies
107K Views
Haraka haraka na kwa ufupi sana, April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote...
7 Reactions
17 Replies
793 Views
Salaam wana JF, Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28 Msafara ambao unajumiasha...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Vitabu vyote vya dini vinatamka wazi kabisa kuwa anayetakiwa kuabudiwa, kutukuzwa na kusifiwa ni Mungu pekee yake. Biblia inaongeza kwa kusema, amelainiwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, na...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief". Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya...
2 Reactions
2 Replies
543 Views
Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi itakwenda pasipostahili. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa...
24 Reactions
239 Replies
22K Views
Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika. Sera hii mpya inaungwa mkono na...
14 Reactions
189 Replies
15K Views
Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki...
18 Reactions
117 Replies
16K Views
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam. Waziri...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
TAFAKURI YANGU KATIKA SIKU HII YA KUADHIMISHA MIAKA 62 YA UHURU Anaandika Mwalimu Zuberi Kimaro wa Kyeer, Machame Kwanza Hongera sana kwako Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, kwako nimeridhika 100%...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurlahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa, Disemba 08, 2023...
1 Reactions
4 Replies
843 Views
Watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha Malengo ya vyama vyetu Vya siasa Kwanza nikiri hadi sasa vyama Vya siasa hapa nchini ni viwili tu CCM na Chadema vilivyobaki viliundwa mahsusi kwa ajili...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Serikali haiwezi kufanya biashara. Hasa hizi za kwetu. Kama Waziri Mkuu anaona madudu kwenye mradi wa mwendokasi. Kama Serikali imeshindwa kufanya miradi ya reli ya Kati na TAZARA, vivuko, ndege...
27 Reactions
177 Replies
11K Views
Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050. Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye Kanisa la kweli la Mungu kuna Utaratibu wa Kumsifu Mungu, Kuna Utaratibu wa Kumuabudu Mungu na Kuna Utaratibu wa Kumsifu na Kumuabudu Mungu Wakati Mmoja Binadamu Hasifiki wala haabudiki...
4 Reactions
10 Replies
865 Views
Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye...
19 Reactions
121 Replies
11K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom