Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Makam wa Rais amejitokeza hadharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana kushiriki. Hali hii ilipelekea wananchi kuibua sintofahamu juu ya afya yake.

Katika mipango ya ndani ya system wanaweza wakawa sahihi kukaa kimya na taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais. Ila kwa hitaji la Dunia sasa hivi hakuna siri ndio maana hata viongozi wa Mataifa makubwa wanapokwenda kwenye secret mision soon taarifa zinavuja.

Lakini huyu mtu analipwa na kodi za wananchi na anatoka kwa wananchi hivyo lazima wananchi wafahamu anafanya nini. Cha tatu huyu ni binadamu ambayo uhai wake ni periority, watu wangependa kufahamu amepatwa na nini?

Mwisho, naomba kufahamu , ni sahihi kuficha alipo Makamu wa Rais? Kama akipanda ndege watu wanajua, jana karejea wafu wanajua. Je, tunaowaficha ni wakina nani?
 
Makam wa Rais amejitokeza adharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana kushiriki. Hali hii ilipelekea wananchi kuibua sintofahamu juu ya afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze maana halisi ya utawala bora na siyo bora utawala. Siyo mnachosema hakieleweki na mnachoacha kusema hakieleweki! Makamu wa Rais is a public figure sasa kwa nini public. figure apotee kwenye public kwani amekuwa Afisa kipenyo wa Idara nyeti?
 
, jana karejea wafu wanajua. Je, tunaowaficha ni wakina nani?
Je unadhani bila wananchi kumuulixia angrlitokomea mazima asingeonekana tena milele ?

Unadhani kuwaficha wanamchi alipo makamu wa raisi serikali inafaidika vipi na jambo hilo ?
 
Makam wa Rais amejitokeza adharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana kushiriki. Hali hii ilipelekea wananchi kuibua sintofahamu juu ya afya yake.

Katika mipango ya ndani ya system wanaweza wakawa sahihi kukaa kimya na taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais. Ila kwa hitaji la Dunia sasa hivi hakuna siri ndio maana hata viongozi wa Mataifa makubwa wanapokwenda kwenye secret mision soon taarifa zinavuja.

Lakini huyu mtu analipwa na kodi za wananchi na anatoka kwa wananchi hivyo lazima wananchi wafahamu anafanya nini. Cha tatu huyu ni binadamu ambayo uhai wake ni periority, watu wangependa kufahamu amepatwa na nini?

Mwisho, naomba kufahamu , ni sahihi kuficha alipo Makamu wa Rais? Kama akipanda ndege watu wanajua, jana karejea wafu wanajua. Je, tunaowaficha ni wakina nani?
Pumbavu sanaa wewe!
Nadhani unafikiri kwa mdomo wa makalio
 
Ameajiliwana kulipwa na walipa kodi. yaani wewe binafsi, umlipe mtu halafu asionekane kazini na ukae kimya tu, labda kama una fedha za kumwaga bila ufuatiliaji ndio utaeleweka
Waziri Mkuu ALIWAAMBIA yupo kikazi na ni mzima wa afya

Yeye Leo kaja kawaambia alikua nje kikazi Bado mnaendelea kukaza shingo

Sio Kila jambo au Kazi anayofanya Kiongozi wa Juu utangazwa

Basi alikua World bank kwenye sera

( Chadema yanajinyea) , (Chadema ni mbumbumbu)
 
Ameajiliwana kulipwa na walipa kodi. yaani wewe binafsi, umlipe mtu halafu asionekane kazini na ukae kimya tu, labda kama una fedha za kumwaga bila ufuatiliaji ndio utaeleweka
KAzini ambapo makamu hakuonekana ni wapi ?

Je kuna kazi yoyote ambayo alitakiwa aifanye makamu ama ziara yoyote alitakiwa aifanye makamu imekwamba kwa sababu hayupo ?

Je kitendo cha kazi hizo kutokukwama hiyo haiwezi kuwa ni hoja kwamba bado alikuwa yupo kazini ?
 
Back
Top Bottom