Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Mpaka sasa hakuna chama mbadala wa CCM, CCM imekita mizizi yake pote hadi vijijini ndani ndani. CCM ina viongozi wengi ambao ni Presidential material.
Hata leo uchaguzi ungefanyika wako wengi wanafaa ndani ya CCM ambao hata hawana majina makubwa wametulia.
Ukija kwa upande wa upinzani hakuna anayefaa kuna wanaharakati tu, ukiwaondoa viongozi wa juu wa vyama vya upinzani hakuna walioandaliwa ndo maana huwa wanachukua viongozi waliokimbia CCM na kuwaweka kwenye uongozi na wengi wao wakijiunga na upinzani hurudi CCM mapema maana hakuna ule mfumo wa watu wa maana,chain ya uongozi wa juu wa vyama vingi vya upinzani ni watu wachache sana ambao ndo wana maamuzi kwenye vyama vyao na ukiangalia hata wenyewe hawafai zaidi ya kulinda maslahi yao binafsi.
CHADEMA ina Mbowe,Lissu, Mnyika ,Lema hao ndo wanaopanga agenda wanaobaki wanasikiliza tu, fikiria chama lote inategemea watu wachache. Ukija kwa ACT - WAZALENDO Zitto Kabwe ndo kila kitu, sasa utashindana vipi na CCM ambao wana viongozi wa chama hadi vijijini,uongozi wa CCM kuanzia wilaya,kanda hadi taifa una watu wa maana kwenye maamuzi, lakini vyama vya upinzani wanaweza kujadili vitu hata wakiwa baa au nyumbani kwa mtu maana hawana mfumo mzuri wa uongozi.
Tuseme ukweli CCM ni chama iliyejenga mfumo mzuri wa kiuongozi na ipo karibu na wananchi siyo vyama vinavyojitokeza wakipata kiki.
Sent using Jamii Forums mobile app