MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Nimekuwa nafuatilia sana yanaondelea Marekani hasa kwenye bunge la Congress na seneti na ndani ya serikali.
Kwa sasa kuna mkwamo serikalini maarufu Kama Government shutdown. Wizara nane na watumishi kama laki nane hawafanyi kazi ipasavyo kisa kukosa bajeti baada ya serikali kuomba fedha hasa za ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico.
Wabunge wa Democratic Party wamegoma, lakini pia Rais Trump ameapa lazima ukuta ujengwe na apewe US dollars billion tano.
Wabunge wanataka serikali utumie 1.3 billion kuimarisha ulinzi mpakani.
Lakini pamoja na misimamo ya kila upande sijaona nguvu ikitumika.
Najiuliza Marekani chama kinachokuwa madarakani hakina ilani ya uchaguzi ambayo inatakiwa kutekelezwa.
Rais hawezi amua ku divert fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama tifanyavyo sisi?
Rais waMarekani hana nguvu kuamua kama tifanyavyo sisi kama alivyo amua Rais Magufuli kwenye ujenzi wa barabara ya Morocco to Mwenge na mengine kama hayo.
Kwanini rais asivunje bunge kutimiza malengo yake.
Kimberly Marekani rais anaweza kuamua jambo akakwamishwa na bunge.
Kwa kweli kuna mengi ya kukifunza kutokana na sakata hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app