Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa.
Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma.
Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji wala kujibu message wanazotumiwa, ikiwemo kwenye social media zao.
Najua pia Rais amezuia kutumiwa direct message kwenye mitandao ikiwemo twitter na kwingineko.
Najua Rais yupo humu na Wasaidizi wake wapo humu pia.
Nataka kutuma haya mawazo. Naomba wanijibu nawafikieje?