Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nape Nauye amepata mashambulizi makubwa sana mengi yakiwa yanatokana na historia yake kisiasa. Yapo makosa ya kisiasa ameyafanya na sasa yanamgarimu sana. 1. Kutumia goli la mkono kushinda...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini. Baada ya...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
Enyi Watu wa Finance niwaombe mje mnielimishe kidogo kulingana na kichwa cha thread hapo juu. Akunyang'aye kanzu mwachie na Joho!
12 Reactions
485 Replies
21K Views
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Anonymous
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa. Ukifika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu ya kutengeneza dira ya taifa ya mwaka 2025-2050 imewaweka wataalamu tu katika maeneo mbalimbali. Japo sioni umuhimu wa kutengeneza kitu hicho kinachoitwa dira ya taifa ila ni naipongeza sana...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake. Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
11 Reactions
136 Replies
7K Views
Tunafahamu kuwa watumishi wote wa Umma ambao ni Viongozi na wapo Madarakani kwa kupigiwa kura (kupitia uchaguzi) waajiri wao na mabosi wao ni sie Wapiga kura wananchi wa nchi hii. Sheria za kazi...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
SHUNSHAA TRUMP,TRUMP HAS FINISHED,SOMO KWA CHADEMA, ACT WAZALENDO NA ULEVI WAO KWA WAZUNGU. Leo 13:15hrs 10/01/2021 Nimejifunza mengi baada ya kusoma vitabu vya "Pan Africanist" kama Chachage...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Hizi hapa Nchi 4 Za Afrika Zilizofuta Visa Kwa raia yeyote wa Afrika ambae anataka kutembelea Nchi hizo. 1.Kenya-Rais yeyote kutoka Nchi yeyote Duniani hahitaji visa kwenda Kenya. 2.Rwanda...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa...
9 Reactions
157 Replies
14K Views
Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa). Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho. Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa...
46 Reactions
190 Replies
17K Views
Hivi karibuni tumemsikia waziri Nape akieleza kuwa wale wote waliosema uwongo dhidi ya afya ya makamu wa Rais, atawachukulia hatua. Mimi ni mtu ninayechukia sana uwongo, na hakika waongo...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya...
67 Reactions
114 Replies
7K Views
Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania --- Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa; "Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Tarehe 7 Sept 2017 Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma October 2017 Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa. Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini...
26 Reactions
114 Replies
15K Views
Kuna wakati mtu unaweza kujiuliza ni kwanini hadi leo tunatembeza bakuli la kuomba Misaada Ulaya. Kwanini tuliwafukuza Wakoloni? Kwanini tulitaifisha mali zao kwenye Azimio la Arusha kwa mfano...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali Hili jaribio la kuwapumbaza watu mamilioni kwa...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu ,his excellence Joe Davie amewaasa wanaarusha na watanzania kwa ujumla kuangalia mazuri ya mh John Magufuli kama rais bora madhabahuni Nabii huyu...
5 Reactions
169 Replies
20K Views
Back
Top Bottom