Serikali kutoa milioni moja kama mkono wa pole kwa ndugu wote waliopoteza wapendwa wao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,327
9,748
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,Simba wa nyika, komandoo wa vita,Nuru ya wanyonge,mama wa huruma na upendo, mzalendo wa kweli ,nyota ya matumaini ameendelea kuonyesha kuguswa kwake na yale yaliyotokea na kuwapata watanzania wenzetu wa Hanang eneo la kateshi.

Ambapo mh Rais ametoa kiasi cha shilingi millioni moja kwa kila mwili kama mkono wa pole.hapa nieleweke kuwa yaani mpaka sasa waliotangulia mbele za haki ni 87,kwa hiyo Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania anatoa milioni moja kwa kila mwili na kuwapatia ndugu ambapo miili yote hiyo 87 imeshatambuliwa na ndugu zao.

Lakini pia serikali ya Rais wetu mpendwa imegharamia mazishi ya wote waliotangulia mbele za haki. Lakini pia serikali yetu inaendelea kuwasaidia na kubeba jukumu la kuwapatia mahitija yote muhimu wahanga. Ambapo serikali yetu chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais samia inaendelea kuwapatia mahitaji muhimu wale wote walio katika Makambi ,.ambapo inawapatia chakula ,mavazi na vya kulalia kama vile magodoro,mablanketi,mashuka, kanga,taulo za kike na kila aina ya nguo zinazovaliwa na mwanadamu aliyetimamu.

Pia serikali ya Rais wetu mpendwa mama samia inawapatia chakula cha mwezi mzima wale wote wanao toka katika Makambi kwa kuwapatia vitu kama unga,mchele,mafuta ya kula, chumvi,sukari,sabuni,maharage na vitu vingine vingi sana.serikali yetu pia inaendelea kufanya tathmini kwa uharibifu wa mashamba uliotokea ambapo itawapatia mbegu bora kabisa kulingana na udongo wao.lakini pia imewapatia wahanga wote hudumu ya kisaikolojia kutokana na machungu makubwa yaliyobebwa katika mioyo yao.

Ndugu zangu Watanzania , serikali ya jemedari wetu mama Samia Suluhu Hasssan inaendelea kutoa faraja na kuwafariji wahanga kwa kadri iwezavyo na kwa kadri iwezekanavyo, ipo bega kwa bega na wenzetu, Serikali yetu chini ya Rais samia haitaki kuwaacha wapweke wana Hanang.ndio maana inawapatia upendo wa kila namna na kuwa nao karibu,ndio maana Inaendelea kuwafuta machozi na kuwa nao karibu.

Ndio maana inaendelea kuwapa misaada ya hali na mali,ndio maana Inaendelea kuwafunika kwa upendo na ukarimu,ndio maana Inaendelea kuwaonyesha kuwa msiba walio upata ni msiba wetu sote kama Taifa,ndio maana nguvu zote zimeelekezwa kwao,ndio maana sikio na masikio ya Rais wetu yapo kwao katika kusikiliza wanataka nini na kuwapatia mahitaji yao kwa uharaka sana,ndio maana macho ya Rais samia yapo kwao katika kuwaangalia hali zao zinavyoendelea kila siku na namna wanavyohudumiwa na kupewa kila kitu,ndio maana mawazo ya Rais wetu yapo kwao muda wote ili wasijisikie upweke na ukiwa.

Hii ndio maana ya kuitwa kiongozi na Rais wa nchi. Hii ndio maana ya Rais samia kuteke mioyo ya watanzania,kwa kuwa mama mwenye upendo wa dhati kwa watanzania,ni mama mwenye ukarimu na moyo wenye kuguswa. Kwa hakika aliinuliwa na Mungu kuja kuwa mfariji wa Taifa na kuwapa watu matumaini. Watu wamepatwa na matatizo lakini wanajiona wepesi na kupata faraja kwa kuwa wanaona namna Rais wao na mama yao alivyokaribu yao na kufutwa machozi yao.

Rais samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. viongozi aina yake hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila mahali, ni nadra sana kupata kiongozi kama mama samia katika kila uchaguzi .viongozi aina yake huja kama zawadi iyokayo kwa Mungu mwenyewe,huja wakiwa na baraka na neema mikononi mwao,huja na vibali ,huja na njia na huja na Nuru.huja na faraja kwa wote,huja na Ramani ya ushindi.tawala zao hutawaliwa na amani na utulivu kama ilivyo kwa Rais samia.watu katika tawala zao hujawa na furaha, tabasamu na matumaini makubwa katika mioyo yao kama ilivyo kwa Rais samia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Mwamba unajitahidi kutafuta teuzi lkn hawakuon, maafisa vipenyo hawakuoni jinsi unavompigia debe mama samia
 
Kwa Yanga na Simba kila goli milion Tano mpaka kumi
Kwa hiyo unataka kusemaje. Lakini napenda kukwambia kuwa mpaka sasa serikali yetu chini ya uongozi wa Rais samia imetoa na kutumia mamilioni ya pesa kwa ajili ya ndugu zetu waliokumbwa na janga hili la maporomoko ya udongo.
 
Serekali imetoa,Samia anatoa wapi hela ?.
 
Back
Top Bottom