Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!!

Kama mnadhani mtafanikiwa kama mlivyofanikiwa kipindi kile basi safari hii mmechemka Mungu wetu hawezi kuruhusu hilo liwe labda atake yeye

Hii tabia ya kuzushia watu vifo siyo nzuri hata kidogo!! Na ingekua ni busara hawa wahuni washughulikiwe humo humo ndani ya chama na mtandao wao!!Lakini inakua ni vigumu maana wana mizizi kila mahali.

=======

Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Jumapili leo Desemba 10, 2023. Ibada hiyo imeongozwa na Padre Dionis Paskal Safari.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo, Dk Mpango amewaasa Watanzania kutumia vema mitandao ya kijamii.

Amesema matumizi yasiofaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa yakiumiza watu wengi hivyo yampasa kila mmoja kutumia vema pamoja na kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu.

Makamu wa Rais amewashukuru waumini hao kwa kuendelea kumuombea ili aweze kutekeleza vema majukumu yake.
20231210_103220.jpg

Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!!

Kama mnadhani mtafanikiwa kama mlivyofanikiwa kipindi kile basi safari hii mmechemka Mungu wetu hawezi kuruhusu hilo liwe labda atake yeye

Hii tabia ya kuzushia watu vifo siyo nzuri hata kidogo!! Na ingekua ni busara hawa wahuni washughulikiwe humo humo ndani ya chama na mtandao wao!!Lakini inakua ni vigumu maana wana mizizi kila mahali.

=======

Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.
View attachment 2838329
Tupe ushahidi kuwa ni leo!
 
Asante Mungu!, maana...!.

Ila pia sisi Matomaso tupo!, kwa vile tulielezwa kuwa yupo nje ya nchi kikazi, tulitegemea picha ya kwanza ni picha ya akirejea nchini.

Picha ya pili ni VP akiwa popote kufanya lolote ni kumwakilisha rais, hivyo tulitegemea siku akirudi, apokelewe, aonekane akitoa mrejesho wa safari kwa aliyemtuma!.

Kama hii picha ni kweli ni ya leo, inamaana jana VP alikuwa Dodoma!, hivyo alitarajiwa kuonekana pale uwanjani kwenye maadhimisho ya uhuru!.

Anyway, kitu muhimu ni tumemuona yuko bukheri wa afya, tena amenyonga tai, hivyo kumaanisha hata ile taarifa kuwa ana hali fulani ni uzushi!, ingekuwa kweli, asingenyonga tai leo!. Hata hivyo asante kwa hii picha roho zetu zimetulia, ngoja nipitie meta data za hii picha kuithibisha ni ya leo!. Nimethibitisha
View: https://youtu.be/wytTpiQr4HA

Asante tena.

P
 
Na wewe type ushahidi kuwa siyo leo
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya kushiriki Ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo. Source TBC
 
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini wenzake aliposhiriki ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo Desemba 10, 2023.

20231210_104848.jpg

20231210_104419.jpg

20231210_104415.jpg

20231210_104852.jpg
 
Chadema wanaweza kusema hiyo ni wax
Wangekuwa wanajikita kwny issues muhimu za kitaifa ingekuwa safi sana...lakini wao rumour yyte wanapita nayo...ndo maana sometimes wanaonekana kama hawana utofauti sana na Hawa ambao wameshikilia usukani...yaani wte ni pata potea
 
Back
Top Bottom