DC mpya wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida Mwl. Fikiri Avias Saidi uteuzi wake umetenguliwa leo, ameteuliwa ndugu Miraji Mtaturu ambae alikuwa katibu wa CCM mkoani Mwanza.
Ngoma inogile...
Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa...
Swali ni kweli muda wote huo hakuwahi kutembelea kaburini kama ni kweli naye alikuwa ni mtu wa ke wa karibu kwanini?
Je, bila ya uteuzi ni kwamba asinge kwenda kutembelea kaburi la mwanawe wa...
Watumishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), wametakiwa wabadilike katika utendaji wao na wasiishi kwa mazoea ili kutimiza malengo ya Serikali ya kuwaletea wananchi...
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo...
Anaandika ONJO.
Mimi sina dini,nitaandika kweli tu,naamu kweli tu.
1. Viongozi wa dini mkili wazi kuwa hamuijui kweli.
Maana kama ni mkristo ambaye ni kiongozi anawezaje kuanzisha mahakama ya...
Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao...
Viongozi wa dini wa sadaka hawawezi kuliokoa taifa.
Imeendelea kuthibitika kwamba viongozi wa dini hususan wa Kikristo wamejaa unafiki, tamaa ya sadaka, madaraka, publicity, ubinafsi na hivyo...
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini...
Mahakama Kuu kesho inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kina Halima Mdee ambao ni wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uamuzi huo...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa.
Pamoja na kukiri kuwa chama tawala...
"Jiji" la Mbeya ni 90% squatters.
Hata aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati fulani Mateo Qares, aliliita jiji la Mbeya kijiji kikubwa.
Sehemu ambayo imepimwa vizuri jiji la Mbeya ni lile la mkoloni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais wetu mpendwa ameumia na kuumizwa sana na maafa yaliyotokea mkoani Manyara wilaya ya Hanang mji wa kateshi yaliyo chukua roho na maisha ya watanzania...
Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu.
"Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu"
Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha...
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni...
Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana bega kwa bega na Kenya katika kukuza na kuimarisha zaidi...
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa
Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli...
Hakika nimewaza sana juu ya huu umasikini wa watanganyika. Kwa hili la daladala kuongeza nauli ya sh.100 linavyopigiwa kelele ni ushahidi tosha kuwa kweli watanganyika wananuka umasikini kiasi...
Kwa ujinga wa Watanzania walio wengi ndio sababu Wabunge hujiona na wao ni Viongozi.
Kimsingi mbunge siyo Kiongozi ni kibarua tu wa kawaida anayetumwa na Wananchi kupeleka jumbe zao mbalimbali...