Serikali yetu fikirini nje ya box, mto Msimbazi unawaumbua!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
images.jpeg.jpg
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.

Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nenda rudi, mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.

Miaka 40 iliyopita mto Msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.

Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.

Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takriban mita 40 hivi.

Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.

Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kwa hali hii kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?

Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.

Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!

Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!

Natoa tahadhari tu.
 
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.

Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nebda rudi mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.

Miaka 40 iliyopita mto msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.

Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.

Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takkriban mita 40 hivi.

Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.

Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?

MAMBO MENGI YANAWAUMBUA CCM
kwa mfano
Madawati
Matundu ya vyoo
Katiba Mpya

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.

Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nebda rudi mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.

Miaka 40 iliyopita mto msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.

Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.

Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takkriban mita 40 hivi.

Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.

Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?

Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.

Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!

Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!

Natoa tahadhari tu.
Wakwanza ni jenista muhagaama atakuwa na zile nguo zake nyeusi eti ndo uchapakazi
 
Eneo lote la bonde la Mto Msimbazi kwa mapana, marefu na mawanda yake ni bwawa!
Japo World Bank wametoa fedha lakini pasipoboreshwa vizuri patajaa tu!
Ni kweli kabisa mkuu.
Wengi hawaioni picha nzima, mafuriko yote yanapitia mdomo wa chupa uitwao Selander bridge.
Kwa vile huo.mdomo wa chupa Selander ni finyu, lazima bwawa litajitengeneza Jangwani.
Sijui kwa nini wapanda VX-V8 hawalioni hilo.
 
Mkuu sijakuelewa hapo ulipisema
"kwa nini kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?"
Tufafanulie kidogo
 
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.

Mto Msimbazi ni moja ya matatizo ambayo miaka nebda rudi mafuriko yake hayajaweza kupatiwa ufumbuzi.

Miaka 40 iliyopita mto msimbazi ulifurika mara moja kila miaka mitano.

Leo hata mvua ndogo mto huu unafurika kiasi cha barabara kubwa inayokatiza ,Morogoro rd, kutopitika.

Miaka yote hii, outlet ya mto ni daraja la Selander, daraja ambalo ni takkriban mita 40 hivi.

Yale maji yooote ya msimbazi yanapitia hapo, upenyo wa mita 40.

Kwa wale watakao nielewa kihandisi, kwa nini kusiwepo na back up ya maji pale maji ya mto yakiwa mengi?

Sasa hivi tumeambiwa kingo za daraja la Selander zimeanza kuliwa na mto.

Kuna siku itatokea maji ya mto yatakuwa mengi hadi kupita juu ya sehemu dhaifu ya daraja la Selander!

Hapo hadi Rais, Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, na mawaziri wote watahamia Selander "kujionea " mafuriko!

Natoa tahadhari tu.
Suala lako limewafikia wahusika litafanyiwa kazi samia ni msikivu!
 
Tulijisahau tukajikita kwenye kuondoa foleni barabarani ,tukaisahau Jangwani na mafuriko ya Mto Msimbazi......((kwamba eti jangwa haliwezi kuwa Mto)))???
Bado tuna changamoto kubwa sana kwenye miundombinu mfano Jiji la Mwanza na viungo vyake Mto Mirongo na Msuka ni hatari sana Kwa siku zijazo ..
Ni vyema upembuzi yakinifu ufanywe Nchi nzima kubaini na kufanya usanifu wa miundombinu imara yenye tija,mfano na yenye kuweza kukuza Uchumi na kuboresha maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom