Mungu amjalie moyo wa subira Rais Samia kwa maumivu makubwa aliyopata kutokana na maafa ya Hanang

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,279
9,718
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais wetu mpendwa ameumia na kuumizwa sana na maafa yaliyotokea mkoani Manyara wilaya ya Hanang mji wa kateshi yaliyo chukua roho na maisha ya watanzania wenzetu 76. Nimemtizama kwa umakini na utulivu mkubwa sana tangia kuwasili kwake eneo la tukio.

ambapo alioonyeshwa eneo na madhara yaliyo tokea na kusimuliwa na kupewa picha ya eneo lililokuwa na makazi na kubakia kama uwanja, wakati alipozungushwa angani kwa helkopta kujionea hali halisi mpaka muda ule alipotoa hotuba yake kwa wananchi na Taifa zima kwa ujumla wake.

Kiukweli moyo wa Rais samia kama mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, kiongozi wa serikali,mama wa watoto,bibi wa wajukuu na faraja ya Taifa ameumia sana tena sana mama yetu. Ukimtizama usoni unaona namna ambavyo moyo wa mama yetu umebubujikwa na machozi mengi ya uchungu na maumivu makali sana.

Ni ujasiri tu wa kiuongozi anaopaswa kuwa nao kiongozi ambapo yeye anatakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa faraja kwa wahanga, lakini katika hali halisi mama yetu ameumia na kuhuzunishwa sana mpaka nimemuonea huruma sana Rais wetu.

Ndio maana mmeona Rais wetu namna alivyokuwa akizungumza kwa unyonge na hisia kali sana,ndio maana mnaona alitoa hotuba fupi ambayo kila mtu aliyekuwa akifuatilia alijikuta akiguswa na akiingiwa na simanzi na huzuni moyoni ya kuondokewa na watanzania wenzetu.

Ndio maana hata macho yake, paji la uso wake na muonekano wake mzima usoni ulikuwa umeelemewa na maumivu na machozi katika moyo wake japo usingeweza kuyaona yakitiririka katika macho ya kawaida kwa kuwa yeye ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwafuta machozi na kuwatia moyo wahanga wanaoendelea kububujikwa na machozi ya kupoteza wapendwa wao.

Watanzania wote kwa pamoja na umoja wetu sote tumeumia na kuumizwa sana na kile kilichotokea kule Hanang. Ndio maana tumeunganika kama Taifa kuelekeza maombi, sara na dua zetu kwa watu wa Hanang. Ndio maana tumeona michango ikitoka kila pembe ya Taifa letu kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wenzetu.

Kwa upekee kabisa namuomba Mungu mwingi wa Rehema na Fadhila amtie nguvu na kumpa moyo wa subira Rais wetu wakati huu ambapo Taifa limeondokewa na watanzania wenzetu, natambua kwanini msiba huu umekuwa mzito moyoni mwa Rais wetu.

Ni mzito kwa kuwa Rais samia ndiye mfariji wa watanzania wote na ndiye mwenye dhamana na maisha ya watanzania, ambaye ana jukumu la kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa salama muda wote, Lakini kwa kuwa hili lilikuwa nje ya uwezo wa kibinadamu na serikali yetu.

Ndio maana Rais wetu ametusihi tumuachie Mungu na kumshukuru kwa yote na kuendelea kuchukua tahadhali wakati huu ambao mvua zinaendelea kunyesha, lakini pia kumuomba Mungu sote kama Taifa ili Mungu atupatie mvua zenye baraka na neema kwa Taifa.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
We jamaa ni noma, umeuonaje 'moyo' wa rais ikiwa unabubujikwa na machozi?!
We ni mchawi???
Wakupe tu hata balozi nyumba kumi kumi utachizika Mkuu.
Ndio maana nikasema huwezi ukaona kwa macho ya kawaida lakini kwa tulioona kwa macho ya ndani na rohoni kwa kumuangalia usoni Rais wetu na namna alivyokuwa akizungumza, nimeona maumivu na uchungu mkubwa uliokuwa umebebwa katika moyo wa mama yetu mpaka kuuelemea moyo wake na kuububujisha machozi ya huzuni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais wetu mpendwa ameumia na kuumizwa sana na maafa yaliyotokea mkoani Manyara wilaya ya Hanang mji wa kateshi yaliyo chukua roho na maisha ya watanzania wenzetu 76. Nimemtizama kwa umakini na utulivu mkubwa sana tangia kuwasili kwake eneo la tukio.

ambapo alioonyeshwa eneo na madhara yaliyo tokea na kusimuliwa na kupewa picha ya eneo lililokuwa na makazi na kubakia kama uwanja, wakati alipozungushwa angani kwa helkopta kujionea hali halisi mpaka muda ule alipotoa hotuba yake kwa wananchi na Taifa zima kwa ujumla wake.

Kiukweli moyo wa Rais samia kama mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, kiongozi wa serikali,mama wa watoto,bibi wa wajuu na faraja ya Taifa ameumia sana tena sana mama yetu. Ukimtizama usoni unaona namna ambavyo moyo wa mama yetu umebubujikwa na machozi mengi ya uchungu na maumivu makali sana.

Ni ujasiri tu wa kiuongozi anaopaswa kuwa nao kiongozi ambapo yeye anatakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa faraja kwa wahanga, lakini katika hali halisi mama yetu ameumia na kuhuzunishwa sana mpaka nimemuonea huruma sana Rais wetu.

Ndio maana mmeona Rais wetu namna alivyokuwa akizungumza kwa unyonge na hisia kali sana,ndio maana mnaona alitoa hotuba fupi ambayo kila mtu aliyekuwa akifuatilia alijikuta akiguswa na akiingiwa na simanzi na huzuni moyoni ya kuondokewa na watanzania wenzetu.

Ndio maana hata macho yake, paji la uso wake na muonekano wake mzima ulikuwa umeelemewa na maumivu na machozi katika moyo wake japo usingeweza kuyaona yakitirirka katika macho ya kawaida kwa kuwa yeye ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwafuta machozi na kuwatia moyo wahanga wanaoendelea kububujikwa na machozi ya kupoteza wapendwa wao.

Watanzania wote kwa pamoja na umoja wetu sote tumeumia na kuumizwa sana na kile kilichotokea kule Hanang. Ndio maana tumeunganika kama Taifa kuelekeza maombi, sara na dua zetu kwa watu wa Hanang. Ndio maana tumeona michango ikitoka kila pembe ya Taifa letu kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wenzetu.

Kwa upekee kabisa namuomba Mungu mwingi wa Rehema na Fadhila amtie nguvu na kumpa moyo wa subira Rais wetu wakati huu ambapo Taifa limeondokewa na watanzania wenzetu, natambua kwanini msiba huu umekuwa mzito moyoni mwa Rais wetu.

Ni mzito kwa kuwa Rais samia ndiye mfariji wa watanzania wote na ndiye mwenye dhamana na maisha ya watanzania, ambaye ana jukumu la kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa salama muda wote, Lakini kwa kuwa hili lilikuwa nje ya uwezo wa kibinadamu na serikali yetu.

Ndio maana Rais wetu ametusihi tumuachie Mungu na kumshukuru kwa yote na kuendelea kuchukua tahadhali wakati huu ambao mvua zinaendelea kunyesha, lakini pia kumuomba Mungu sote kama Taifa ili Mungu atupatie mvua zenye baraka na neema kwa Taifa.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Siku hizi mwenye shibe humjua mwenye njaa?
 
We jamaa ni noma, umeuonaje 'moyo' wa rais ikiwa unabubujikwa na machozi?!
We ni mchawi???
Wakupe tu hata balozi nyumba kumi kumi utachizika Mkuu.
Huyo Lucas mwashambwa anelekea kubaya sasa,nawasihi wale wote walio karibu naye wamtafutie tiba mapema iwezekanavyo.

Hizi sio sifa na mapambio,huu ni ugonjwa wa akili kabisa.

Hakuna binadamu anayeona moyo, ubongo wala nafsi ya mwingine mpaka kuandika hayo.

Ni kichaa pekee.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais wetu mpendwa ameumia na kuumizwa sana na maafa yaliyotokea mkoani Manyara wilaya ya Hanang mji wa kateshi yaliyo chukua roho na maisha ya watanzania wenzetu 76. Nimemtizama kwa umakini na utulivu mkubwa sana tangia kuwasili kwake eneo la tukio.

ambapo alioonyeshwa eneo na madhara yaliyo tokea na kusimuliwa na kupewa picha ya eneo lililokuwa na makazi na kubakia kama uwanja, wakati alipozungushwa angani kwa helkopta kujionea hali halisi mpaka muda ule alipotoa hotuba yake kwa wananchi na Taifa zima kwa ujumla wake.

Kiukweli moyo wa Rais samia kama mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, kiongozi wa serikali,mama wa watoto,bibi wa wajukuu na faraja ya Taifa ameumia sana tena sana mama yetu. Ukimtizama usoni unaona namna ambavyo moyo wa mama yetu umebubujikwa na machozi mengi ya uchungu na maumivu makali sana.

Ni ujasiri tu wa kiuongozi anaopaswa kuwa nao kiongozi ambapo yeye anatakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa faraja kwa wahanga, lakini katika hali halisi mama yetu ameumia na kuhuzunishwa sana mpaka nimemuonea huruma sana Rais wetu.

Ndio maana mmeona Rais wetu namna alivyokuwa akizungumza kwa unyonge na hisia kali sana,ndio maana mnaona alitoa hotuba fupi ambayo kila mtu aliyekuwa akifuatilia alijikuta akiguswa na akiingiwa na simanzi na huzuni moyoni ya kuondokewa na watanzania wenzetu.

Ndio maana hata macho yake, paji la uso wake na muonekano wake mzima usoni ulikuwa umeelemewa na maumivu na machozi katika moyo wake japo usingeweza kuyaona yakitiririka katika macho ya kawaida kwa kuwa yeye ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwafuta machozi na kuwatia moyo wahanga wanaoendelea kububujikwa na machozi ya kupoteza wapendwa wao.

Watanzania wote kwa pamoja na umoja wetu sote tumeumia na kuumizwa sana na kile kilichotokea kule Hanang. Ndio maana tumeunganika kama Taifa kuelekeza maombi, sara na dua zetu kwa watu wa Hanang. Ndio maana tumeona michango ikitoka kila pembe ya Taifa letu kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wenzetu.

Kwa upekee kabisa namuomba Mungu mwingi wa Rehema na Fadhila amtie nguvu na kumpa moyo wa subira Rais wetu wakati huu ambapo Taifa limeondokewa na watanzania wenzetu, natambua kwanini msiba huu umekuwa mzito moyoni mwa Rais wetu.

Ni mzito kwa kuwa Rais samia ndiye mfariji wa watanzania wote na ndiye mwenye dhamana na maisha ya watanzania, ambaye ana jukumu la kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa salama muda wote, Lakini kwa kuwa hili lilikuwa nje ya uwezo wa kibinadamu na serikali yetu.

Ndio maana Rais wetu ametusihi tumuachie Mungu na kumshukuru kwa yote na kuendelea kuchukua tahadhali wakati huu ambao mvua zinaendelea kunyesha, lakini pia kumuomba Mungu sote kama Taifa ili Mungu atupatie mvua zenye baraka na neema kwa Taifa.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwa mtu mwenye akili timamu sawa sawa kabisa, hawezi kufikiria kuliweka jina lako kwenye orodha ya watu "wanaotakiwa kufanyiwa vetting" kwa ajili ya uteuzi.
 
Wewe ni mtu wa hovyo, utaishia kama paschal, hutapata cheo hata cha katibu tarafa.
 
Kiukweli unemployment ni tatizo linalipelekea matatizo mengi sana kwa vijana wa sasa.
Mimi ni mkulima kazi ya heshima kabisa tangia kuumbwa kwa ulimwengu huu. Najivunia kuwa mkulima kazi ambayo inalifanya Taifa letu kuwa na utulivu na kuendelea kutawaliwa. Maana huwezi ukamuongoza au kumtawala au kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula tumboni mwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom