Nini chanzo cha umasikini wa watanganyika ni Serikali, CCM au Mungu?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,042
Hakika nimewaza sana juu ya huu umasikini wa watanganyika. Kwa hili la daladala kuongeza nauli ya sh.100 linavyopigiwa kelele ni ushahidi tosha kuwa kweli watanganyika wananuka umasikini kiasi ambacho hata sh.100 wanailalamikia.

Najaribu kujiuliza ni nini haswa chanzo cha huo umasikini wa watanganyika?

Je, ni Mungu katuumba masikini? Jibu ni hapana nakataa kwa asilimia 100.

Je, ni Serikali imeamua wananchi tuwe masikini ili itutawale itakavyo?

Je, ni hiki chama cha mapinduzi kwa makusudi kinafurahi watanganyika wawe masikini ili iwe rahisi kuwapikia pilau pombe za kienyeji kuwapa tshirt kofia na vitambaa vya kichwani wakati wa uchaguzi ili wakichague?

Najiuliza kwanini wabunge wao ambao ni wawakilishi wa watanganyika wanalipwa vizuri sana kuliko mtu yeyote lakini hawauoni wala kuutetea huu umasikini wa Watanganyika?

Nchi yetu ina raslimali nyingi sana karibu kila mkoa ambazo mungu wa mbinguni ametupatia lakini bado watanganyika wana nuka umasikini

Je, nani tumlaumu? Nini kifanyike ili hawa watanganyika wanaotembea na kunuka umasikini waishi maisha mazuri kama ya wabunge wao?

Umasikini wa watanganyika ndio sababu ya kupinga ongezeko la nauli za daladala.
 
1) Serikali ya CCM
2) Uoga na ujinga uliopandikizwa kwa wananchi walio wengi na serikali ya CCM.

Mungu hajawahi kuhusika kwenye mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Hakika nimewaza sana juu ya huu umasikini wa watanganyika. Kwa hili la daladala kuongeza nauli ya sh.100 linavyopigiwa kelele ni ushahidi tosha kuwa kweli watanganyika wananuka umasikini kiasi ambacho hata sh.100 wanailalamikia.

Najaribu kujiuliza ni nini haswa chanzo cha huo umasikini wa watanganyika?

Je, ni Mungu katuumba masikini? Jibu ni hapana nakataa kwa asilimia 100.

Je, ni Serikali imeamua wananchi tuwe masikini ili itutawale itakavyo?

Je, ni hiki chama cha mapinduzi kwa makusudi kinafurahi watanganyika wawe masikini ili iwe rahisi kuwapikia pilau pombe za kienyeji kuwapa tshirt kofia na vitambaa vya kichwani wakati wa uchaguzi ili wakichague?

Najiuliza kwanini wabunge wao ambao ni wawakilishi wa watanganyika wanalipwa vizuri sana kuliko mtu yeyote lakini hawauoni wala kuutetea huu umasikini wa Watanganyika?

Nchi yetu ina raslimali nyingi sana karibu kila mkoa ambazo mungu wa mbinguni ametupatia lakini bado watanganyika wana nuka umasikini

Je, nani tumlaumu? Nini kifanyike ili hawa watanganyika wanaotembea na kunuka umasikini waishi maisha mazuri kama ya wabunge wao?

Umasikini wa watanganyika ndio sababu ya kupinga ongezeko la nauli za daladala.
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa !!
 
Jiulize chanzo cha umaskini wa ukoo wenu, siyo kila mtu ni maskini km wewe.
 
Umaskini ni imani, ukiuamini unaishi nao na wewe na kizazi chako kinakuwa kwenye hali hiyo. Hao wote uliowataja hapo juu ni wanufaika wa umaskini wa wananchi na hivyo hawana mpango wa kuhakikisha unaondoka. Umesahau kundi lingine la wanufaika wa umaskini ambao ni viongozi wa dini
 
Hakika nimewaza sana juu ya huu umasikini wa watanganyika. Kwa hili la daladala kuongeza nauli ya sh.100 linavyopigiwa kelele ni ushahidi tosha kuwa kweli watanganyika wananuka umasikini kiasi ambacho hata sh.100 wanailalamikia.

Najaribu kujiuliza ni nini haswa chanzo cha huo umasikini wa watanganyika?

Je, ni Mungu katuumba masikini? Jibu ni hapana nakataa kwa asilimia 100.

Je, ni Serikali imeamua wananchi tuwe masikini ili itutawale itakavyo?

Je, ni hiki chama cha mapinduzi kwa makusudi kinafurahi watanganyika wawe masikini ili iwe rahisi kuwapikia pilau pombe za kienyeji kuwapa tshirt kofia na vitambaa vya kichwani wakati wa uchaguzi ili wakichague?

Najiuliza kwanini wabunge wao ambao ni wawakilishi wa watanganyika wanalipwa vizuri sana kuliko mtu yeyote lakini hawauoni wala kuutetea huu umasikini wa Watanganyika?

Nchi yetu ina raslimali nyingi sana karibu kila mkoa ambazo mungu wa mbinguni ametupatia lakini bado watanganyika wana nuka umasikini

Je, nani tumlaumu? Nini kifanyike ili hawa watanganyika wanaotembea na kunuka umasikini waishi maisha mazuri kama ya wabunge wao?

Umasikini wa watanganyika ndio sababu ya kupinga ongezeko la nauli za daladala.
Chichiemuu
 
Back
Top Bottom