kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Swali ni kweli muda wote huo hakuwahi kutembelea kaburini kama ni kweli naye alikuwa ni mtu wa ke wa karibu kwanini?
Je, bila ya uteuzi ni kwamba asinge kwenda kutembelea kaburi la mwanawe wa ukweli?
Hapa siasa imejaa unafiki na uwongo mwingi na maigizo!
Je, bila ya uteuzi ni kwamba asinge kwenda kutembelea kaburi la mwanawe wa ukweli?
Hapa siasa imejaa unafiki na uwongo mwingi na maigizo!