Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao.
Tuliona namna Serikali ilivyokuwa ikibanwa na akina Mgaya wa TUCTA miaka ya nyuma; maslahi ya wafanyakazi yakawa agenda kwenye mei mosi. Baada ya serikali kuona akina Mgaya wana nguvu wakaweka Makada wa chama cha mapinduzi. Since then hakuna anayeweza kupigania maslahi ya watumishi
Leo CWT wamepata watu wenye msimamo, serikali na chama cha mapinduzi wanaona kama uimara wa viongozi hawa utawasumbua hasa kusimamia fedha za walimu zisiliwe na wajanja. Wakawateua kuwa wakuu wa wilaya ili wakawatumbue , wao wakawa wajanja. Juzi wamewasimamisha kazi bado msimamo wao upo palepale
Leo baada ya mbinu hizi chafu kufeli wameibukia kwenye vyombo vya habari kwa kuandaliwa watu wakusukuma agenda. Clouds wapo behind huu mchezo na soon utaona vyombo vyote vya habari vinaimba huu wimbo kama walivyofanya kuiua TUCTa. Waalimu amkeni mjiongoze achaneni na huu mfumo wa kuchaguliwa nani wawaongoze. Mtaishia kudharaulika