Viongozi wa dini mjitathimini,kouona makosa ya serikali kuliko kuona makosa yenu.

ONJO

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
215
261
Anaandika ONJO.

Mimi sina dini,nitaandika kweli tu,naamu kweli tu.

1. Viongozi wa dini mkili wazi kuwa hamuijui kweli.
Maana kama ni mkristo ambaye ni kiongozi anawezaje kuanzisha mahakama ya kuwahukumu mapadri/ wachugaji wakosaji kwa sheria. Au mnapata wapi mamlaka ya kuwashusha vyeo wachugaji wahalifu.Je kristo hakusema msameheane?

2. Msihukumu msije mkahukumiwa,mathayo 7. Mnapata wapi ujasiri wapi ujasiri wa kumhukumu mama kuwa anahatia kwa maneno yenu?Ndiyo kusema nyinyi mtaenda mbinguni? Hakimu ni mungu. Kama ni mwislamu hatupo kwenye debate ya kushabikia dini sisi.

3. Mnatetea haki, hivi mnajua haki nyinyi? Waumini wengi mmeshasababisha kutoka makanisani/misikitini.Kisa mnawachukia wasipotoa michango.Mnachukua wake zao,na mambo mengine mambaya Ndio kusema hiyo ni haki?

4. Mnatumia neno Hekima, huku mkipotosha kwa kusema sakata la bandari limepelekea kuwajua watu. Ndiyo kusema raisi anamapungufu kuliko yoyote na nyie ni wasafi? Hivi hamjui mtu mwenye hekima ni mtakatifu wa mungu.

5. Kuna uwezekano nyinyi ndio mliliharibu taifa letu toka lipate uhuru kwa kuwaadhibu raia wetu kwa sheria kali, mkihukumu watu makosa yao ingali nyinyi ni binadamu, mnamwabudu mungu gani nyinyi?

6.Mnasema hadhari serikali imetenda kosa kwahyo mtaka tuandamane tuondoe amani yetu.Hiyo sio busara

7.Sasa mnajadili udini hadharani bila haya,maana yenu nini? Mnatupeleka wapi nyinyi watu?

Viongozi wa dini nendeni mkatazame kwanza madhaifu yenu ndio mje muikosoe serikali. Msiwe wepesi wa kuona madhaifu ya wengine hali mnayomadhaifu mengi tu.

Hata kama serikali imekosea jaribuni kuangalia ustaraabu mzuri wa kuishaur serikali na sio kuropokaropoka ovyo tu.Mnaiabisha nchi loo!
 
Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom