Kwanini Viongozi wakiwa ziarani Mtwara hawaendi kuzuru kaburi la hayati Benjamini Mkapa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lissu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
 
Hata Tundu Antipas Lisu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
Kila goti litapigwa kwa Masihi wa Bwana!
 
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lisu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
Ubaguzi wa hali juu!
 
Swali lako limejibiwa vizuri sana na Jen. Ulimwengu kuhusu mkapa legacy na ameweka nukta alipoandika kwenye kitabu chake hayati mkapa akikiri kukosea baadhi ya mambo ikiwemo ubinafsishaji.

Ingekuwa marketing tungesema inahitajika rebranding ya mkapa.
 
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lissu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
Tena kadri tunavyokaribia uchaguzi, watazuru sana Chato. Na yale maadhimisho yaliyozimwa mwaka huu, mwakani yatafanyika kwa kiwango cha SGR.
 
Acha ujinga wa kumuita binadamu masihi wa bwana. Masihi ni YESU kristo peke yake.
Inaonekana hujui hata maana ya neno masihi ni nini katika upana wake! 😳

Masihi = mpakwa mafuta!

Screenshot_20231213_071104_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20231213_071536_Biblia na Sauti.jpg
 
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lissu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
Upo sahihi kabisa. Jibu ni kwamba Magufuli ni kama maji tu usipoyaoga basi utayanywa. Ana nguvu huyo. Ndiye bingwa wa kazi na mapinduzi ya kiuchumi. Ndiye ametoa definition ya neno kiongozi kwa nyakati hizi. Ukimtaja kwa ubaya tu wewe ni adui wa taifa. Mwangalie nnauye,makamba wote,kinana, zito halafu linganisha na makonda, Mpina utagundua kitu hapo. Kila mwenye kutaka kujisogeza kwa wananchi lazima akahiji kwenye kaburi la mwamba. R.i.p Magufuli nilikupenda na nitakupenda Hadi siku ya mwisho wa uhai wangu,wewe ulikuwa Rais kwasasa tuna mtalii.
 
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lissu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko😂

Mlale Unono!
Hana influence kwenye uchaguzi mkuuu wanguu na kanda ya kusini haina changamoto kama kanda ya akina Ngosha

Akina NGOSHA wapo mikoa mingi

Mwanza ,Simiyu,Shinyanga ,Geita Ma sehemu mdogo ya mko wa Kagera

So na population pia ni kubwa kuliko mtwara.
Also nikupe taarifaa ndani ya CCM kuna mgogoro mkubwa sanaaaa.
Ni kama wanapumulia machine. Na umesababishwa na watoto wa big 3 family kubwatuka baada ya Hayati kutwaliwa Kafka maisha hayaa.
Siku izi hutowasikia Tenaaa

Hadi uchaguzi uishe
 
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa

Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli.

Hata Tundu Antipas Lissu aliomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli ila UVCCM wakaleta figisu ila kuna Taarifa Kwamba alienda kimya kimya na paroko

Mlale Unono!
Hata makaburi ya kikwete na mwinyi na samia hayata zuriwa kwa sababu marais tanzania ni wawili tu JPM NA NYERERE hivyo hadi wanafiki wanajipendekeza kwenye hayo makaburi ili wafanikiwe kuwadanganya wananchi kuwa wao nao ni pamoja na hao marais wazalendo.
 
Back
Top Bottom