Samia Suluhu ameshindwa kutupa Katiba Mpya lakini bado wanataka kumuongezea vyeo

Poppy Hatonn

Senior Member
Apr 9, 2021
172
250
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?

Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.

Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse.

Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?

Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.

Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?

Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.

Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,442
2,000
Huyo Mh. Samia ndiyo Rais wetu aliyetukuka. Aliyetufanya tutabasamu ndani ya siku chache mno. MATAGA poleni mnoo. Sisi tuko MATHA =Make Tanzania Happy Again. Na katiba mpya atatuletea tu tumpe muda. Na katiba ya CCM nakuhakikishia itapitiwa upya.
 
Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
910
1,000
Ndio ishatokea itabidi ukagarauke kwenye kaburi la Jiwe tu labda Mungu atakusikia kwa Mara nyingine.

Mungu hawezi sikiliza maombi yako wewe wakati wengi tuliomba lilitokea litokee mapema.
 
THE LOST

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,500
2,000
CCM wameharibu sana nchi hii. so sad, Leo mwanamama anatuongoza tena Mzanzibari? asee nchi hii imepatikana.
 
Blackjew

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
699
1,000
Mama Samia Suluhu Hassan hizi teuzi zako zinaonyesha huna jipya mama au unapigiwa simu na viongozi wa zamani uteue watoto wao au wao wenyewe mbona unateua watu ambao walishindwa sehemu unawateua sehemu nyingine?

Jina kama Mndolwa, Ndomba ni wazi tayari walishakuwepo na wakichemka sana kwenye maeneo yao au ni watoto wa wenzenu humohumo serikalini.

Nilikuwa najua unakuja kutengeneza kitu kizuri kumbe bado unateua kina Jabir wa eGa? eGa ni taasisi kero kwa mtandao kuliko unavyodhani na bado unamuhamishia TCRA! Mama teua watu wapya hii nchi ni ya watu wote na sio wale ambao baba zao walikuwa watu fulani.

Ushauri tu
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,106
2,000
Boya wewe, Kigwa hizo propaganda alizokutuma Kakurwa kuja kuzifanya JamiiForums zimefeli, mtu mwenyewe umejiunga week iliopita JF 09/04/2021.

Jiandae, takukuru wakimalizana na Kakoko jumatatu wakimfikisha mahakamani ujue wanakuja kwako, zamu yako imefika kushughulikiwa.

1) Rais Samia hajamaliza hata "MWEZI NA NUSU" ushaanza kusema ameshindwa kutupa katiba mpya.

2) Rais Magufuli alifukuza mafisadi ili afisadi nchi yeye peke yake. Nchi haijawahi kuwa na Rais muongo, fisadi na mbaguzi wa kikabila aliopitiliza kama Magufuli.

3) Rais Magufuli ndio ameongoza kwa kuwa Rais wa muda mfupi kuwahi kutokea Tanzania, ila ndio Rais alioongoza kwa kuipa hasara na madeni nchi.

MATAGA hata mfanye nini, tarehe 30/04/2021 Rais Samia ndio anakuwa Mwenyekiti wa CCM, hata mfanye propaganda gani za kumnyima 100% ya kura, yeye ndio atakua Mwenyekiti. Mtake msitake.

Hii itakua bingo kwa wapinzani, maana Rais Samia ni mtu pekee ambae ana "AKILI TIMAMU NA MUELEWA" katika chama kizima cha CCM.

● Raia wamelia na kupanda kwa bei za internet siku moja tu, kalishughulikia.

● Raia walikua hawana furaha na nchi yao, siku moja tu baada ya yeye kuapishwa furaha imerudi.

● Raia walikua wanachukiana kwa itikadi za vyama vya siasa, siku moja tu baada ya kuapishwa mpaka wanachama wa upinzani wanamuunga mkono.

● Raia wamepiga kelele za ufisadi hazina, siku moja tu baada ya kukabidhiwa report na CAG kalishughulikia na linafanyiwa kazi.

● Raia na Vyombo vya habari walikua wanalalamika kukandamizwa na kuonewa kwasababu ya kuikosoa serikali, ameamrisha vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe. Sasa watu wanaikosoa serikali kistaarabu.

MPAKA JAMIIFORUMS tokea Mama Samia kuapishwa tu tumerudishiwa uhuru wa kuikosoa kisawasawa serikali, hasa kumkosoa Jiwe na serikali yake. Hakuna ban wala kufutiwa uzi siku hizi. Huu ndio uhuru tunaotaka.
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,065
2,000
Huyo Mh. Samia ndiyo Rais wetu aliyetukuka. Aliyetufanya tutabasamu ndani ya siku chache mno. MATAGA poleni mnoo. Sisi tuko MATHA =Make Tanzania Happy Again. Na katiba mpya atatuletea tu tumpe muda. Na katiba ya CCM nakuhakikishia itapitiwa upya.
Nimeipenda hiyo MATHA Vs MATAGA

MATAGA = Make Tanzania Great Again (unfortunately it has never been great before) so its nonesense

MATHA = Make Tanzania Happy Again (Yes because it was happy before) and so that make sense for sure

R.I.P = REST IN PROBLEMS Mwendazake

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,442
2,000
Nimeipenda hiyo MATHA Vs MATAGA

MATAGA = Make Tanzania Great Again (unfortunately it has never been great before) so its nonesense

MATHA = Make Tanzania Happy Again (Yes because it was happy before) and so that make sense for sure

R.I.P = REST IN PROBLEMS Mwendazake

You nailed it Mkuu. Yaani hawa watu bado wanaota. 40 yaani ni kusahaulika jumla.

Ninawasalimu kwa jina laJ amhuri ya Muuungano= Kazi iendelee

Nchi inaendelea mbele na Jemedari wetu Mh. Samia Suluhu Hassan. Hayo mengine hatuelewi.
 
Poppy Hatonn

Senior Member
Apr 9, 2021
172
250
You do not keep your ear to the ground. Kwanza unajiita Alexander hujui Alexander alikuwa shoga.
Umeona umalaya wa wanawake ulivyoongezeka mtaani siku mbili tu huyu mama alivyokuwa Rais?
Siyo swala la kuwa na akili timami. Ni swala la kuwa na akili ya kutosha.
Hata chura ana akili timamu.
Only the best should lead. Wengine watamshauri.
We are competing with other countries. We are not competing with ourselves,kama jogger asubuhi ambaye anaweza kukimbia spidi yoyote anayopenda.
Leadership must come from ONE mind. The more it can come from one mind,the greater unity there will be.
Lakini hapa unamwambia mtu,"Ongoza tu,ikiwa vipi,mimi nitakusaidia"
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
42,001
2,000
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..

Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?

Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"

Hata mwezi badoooooo ,tangu ateuliwe kelele kila siku ndani ya TZ mamaaaaaaa!!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,496
2,000
Katiba mpya inapatikana ndani ya mwezi mmoja?

Watoto mbona mnakariri Tu katiba mpya
Mnaijua hata hii iliyopo?

Mbona Magufuli alikuwa anaikanyaga kanyaga hata hii ya sasa na hakuna mlichomfanya?
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,016
2,000
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..

Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?

Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Na wewe kufa umfuate huko aliko, si unamuabudu binadamu!! Mtu mwenyewe alikuwa mwizi, mwongo na Fisadi wankutupwa
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,955
2,000
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..

Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?

Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Magufuli amgeweza kuleta Katiba mpya nakubaliana na wewe. Aliwaandaa kina Ndugai, Ally Keissy, Kibajaji na Deo Sanga kuandaa muswada wa katiba mpya ya kuwa Rais wa kudumu.
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,377
2,000
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..

Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?

Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Ulipata wapi taarifa za Magufuli kulazwa?
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,016
2,000
You do not keep your ear to the ground. Kwanza unajiita Alexander hujui Alexander alikuwa shoga.
Umeona umalaya wa wanawake ulivyoongezeka mtaani siku mbili tu huyu mama alivyokuwa Rais?
Siyo swala la kuwa na akili timami. Ni swala la kuwa na akili ya kutosha.
Hata chura ana akili timamu.
Only the best should lead. Wengine watamshauri.
We are competing with other countries. We are not competing with ourselves,kama jogger asubuhi ambaye anaweza kukimbia spidi yoyote anayopenda.
Leadership must come from ONE mind. The more it can come from one mind,the greater unity there will be.
Lakini hapa unamwambia mtu,"Ongoza tu,ikiwa vipi,mimi nitakusaidia"
Unakuwaje malaya walivyoongezeka kama mwenye siyo malaya au mteja wa malaya.

Magufuli mwenyewe alikuwa malaya na akawa anawazawadia uteuzi akina Jokate, Kairuki, Umi, Kebby hotel nk
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
11,859
2,000
Tunaendelea na ile rasimu OG ya warioba, inarekebishwa vitu vidogo vidogo tunapata katiba mpya inayowakilisha maslahi ya wananchi.
Katiba mpya inapatikana ndani ya mwezi mmoja?

Watoto mbona mnakariri Tu katiba mpya
Mnaijua hata hii iliyopo?

Mbona Magufuli alikuwa anaikanyaga kanyaga hata hii ya sasa na hakuna mlichomfanya?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom