Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala...
Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha...
Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini.
Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini.
Tutaanza...
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu...
Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.
Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi sana kutoka Kwa viongozi wa Serikali wakiji bebisha Kwa Walimu.
Tamko la hivi punde ni la Waziri Mchengerwa akidai kwamba Walimu ni watu muhimu...
Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo.
Hongereni sana Dr Kigwangalla, Juliana Shonza na...
Wabunge wa upinzani Wakamatwa na Polisi jioni ya leo wakiwa Ndani ya viwanja vya Bunge Dodoma. Ni baada ya kurushiana maneno na Juliana Shonza.
Wabunge waliokamatwa ni;
Mhe Saed Kubenea.
Mhe Fanc...
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha...
https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s
Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo
1. Ni Clip ndefu kiasi.
2. Nimeisikiliza yote
3. Alianza kuongea...
Mama Samia hongera kwa kazi nzuri.
Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na...
Bandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi...
Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye...
Baada ya kuapishwa Machi 19,2021 Rais Samia alitamani kuona Tanzania inasimama peke yake bila kutegemea mikopo, lakini ukitizama katika hali tulivyokuwa nayo ilikuwa ni sawa na kujichimbia...
JamiiForums, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, na Centre for Strategic Litigation (CSL), wametoa maoni...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na...
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.
Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma...
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma
Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya...
Serikali ya Tanzania ya awamu ya 5 & 6 zimetunia zaidi ya Shilingi Trilioni 3 Kununua Ndege 13 ambazo mara zikamatwe mara zigaribike hovyo mara zipaki bila matumizi nk Kwa Ajili ya Shirika la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.