Chawa walikuwepo tangu Awamu ya Kwanza mfano Waswahili wa Kariakoo na Magomeni walikuwa Chawa wa Nyerere wakiongozwa na Kawawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,976
141,986
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma

Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya Waswahili

Hata wakati wa kudai Uhuru na baada ya Uhuru Chawa wa Mwalimu Nyerere walikuwa ni Waswahili wa Mzizima

Hata wakati akina mzee Mbowe, Mgaya nk wanamchangia Mwalimu Nyerere nauli ya kwenda UNO Waswahili walisema Wao mchango Wao ni Ngoma ya Mdundiko kutoka Uwanja wa Ndege hadi Makao makuu ya TANU siku Mwalimu Nyerere atakaporejea

Chawa ni mfumo wa kitambo sana ila hawa Kizazi kipya wameurasimisha

Happy New Year 😀
 
walamba asali, nyumbu, wachumia tumbo, buku7 na hata puppets wapo na walikuepo pia
 
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma

Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya Waswahili

Hata wakati wa kudai Uhuru na baada ya Uhuru Chawa wa Mwalimu Nyerere walikuwa ni Waswahili wa Mzizima

Hata wakati akina mzee Mbowe, Mgaya nk wanamchangia Mwalimu Nyerere nauli ya kwenda UNO Waswahili walisema Wao mchango Wao ni Ngoma ya Mdundiko kutoka Uwanja wa Ndege hadi Makao makuu ya TANU siku Mwalimu Nyerere atakaporejea

Chawa ni mfumo wa kitambo sana ila hawa Kizazi kipya wameurasimisha

Happy New Year 😀
Waswahili walimlisha Nyerere na familia yake tangu alipoacha kazi pugu mpaka uhuru,wakampa na nyumba magomeni
 
Sina hakika na unalosema lakini hata kama ulikuwepo haikua kazi ya mwanaume kujisifia eti yeye ni chawa, lakini kipindi cha JPM ikaonekana uchawa unalipa na ni ujanja na watu kujisifia kwa uchawa. Kuanzia wanasiasa wasomi wakaambukiza celebrities hadi raia wa kawaida.

Moja kati ya legacy mbaya ya JPM
 
Happy New Year
HAWAKUWA WAJINGA NA WAPUMBAVU kama CHAWA wa sasa

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma

Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya Waswahili

Hata wakati wa kudai Uhuru na baada ya Uhuru Chawa wa Mwalimu Nyerere walikuwa ni Waswahili wa Mzizima

Hata wakati akina mzee Mbowe, Mgaya nk wanamchangia Mwalimu Nyerere nauli ya kwenda UNO Waswahili walisema Wao mchango Wao ni Ngoma ya Mdundiko kutoka Uwanja wa Ndege hadi Makao makuu ya TANU siku Mwalimu Nyerere atakaporejea

Chawa ni mfumo wa kitambo sana ila hawa Kizazi kipya wameurasimisha

Happy New Year 😀
Ukiwa Chawa kwa mtu muadilifu hiyo iko poa !
 
Sina hakika na unalosema lakini hata kama ulikuwepo haikua kazi ya mwanaume kujisifia eti yeye ni chawa, lakini kipindi cha JPM ikaonekana uchawa unalipa na ni ujanja na watu kujisifia kwa uchawa. Kuanzia wanasiasa wasomi wakaambukiza celebrities hadi raia wa kawaida.

Moja kati ya legacy mbaya ya JPM
Ukiona hivyo ujue watu wengi Nchi hii sio wakweli !
Huwa wana tabia ya kumvisha mkubwa kilemba cha ukoka ili wapate wanachokitaka bila kujali athari zinazoweza kutokea !!
 
Waswahili walimlisha Nyerere na familia yake tangu alipoacha kazi pugu mpaka uhuru,wakampa na nyumba magomeni

Chawa walikua wanataka teuzi baada ya huli ilohali hawana elimu ni wahitimu wa madrasa tu,nyerere akawatema mana serikali haiendeashwi kwa msaafu,wakabaki kuleta chuki na kulia lia hadi leo mfano ni mzee saidi mohamedi.

Pole sana chawa mswahili.
 
Ukiona hivyo ujue watu wengi Nchi hii sio wakweli !
Huwa wana tabia ya kumvisha mkubwa kilemba cha ukoka ili wapate wanachokitaka bila kujali athari zinazoweza kutokea !!

Na niwanafiki hatari,kumbuka yule shehe wa dsm alovyokua anamsifia makonda kipindi cha jpm,na baada ya jpm kufariki makonda kupigwa chini alianza kumtunana na kumzodoa.
 
Chawa walikua wanataka teuzi baada ya huli ilohali hawana elimu ni wahitimu wa madrasa tu,nyerere akawatema mana serikali haiendeashwi kwa msaafu,wakabaki kuleta chuki na kulia lia hadi leo mfano ni mzee saidi mohamedi.

Pole sana chawa mswahili.
Akaweka wazungu kuwa mawaziri,halafu akahubiri kuchukia wakoloni na mabeberu,alikua kibaraka wa wazungu
 
Na niwanafiki hatari,kumbuka yule shehe wa dsm alovyokua anamsifia makonda kipindi cha jpm,na baada ya jpm kufariki makonda kupigwa chini alianza kumtunana na kumzodoa.
Ndivyo walivyo !
Mpaka wasiotakiwa kuwa machawa kutokana na hadhi zao kwa jamii lakini bado huwa wanajitoa ufahamu na kuwa machawa ya kutupa !!
Nchi ngumu sana hii !🙄
 
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma

Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya Waswahili

Hata wakati wa kudai Uhuru na baada ya Uhuru Chawa wa Mwalimu Nyerere walikuwa ni Waswahili wa Mzizima

Hata wakati akina mzee Mbowe, Mgaya nk wanamchangia Mwalimu Nyerere nauli ya kwenda UNO Waswahili walisema Wao mchango Wao ni Ngoma ya Mdundiko kutoka Uwanja wa Ndege hadi Makao makuu ya TANU siku Mwalimu Nyerere atakaporejea

Chawa ni mfumo wa kitambo sana ila hawa Kizazi kipya wameurasimisha

Happy New Year 😀
Utofauti Huwa ni majina tuu.Na maisha bila chawa(Wapambe,snitch) hayaendi si kwenye siasa au Kwa Tajiri mtaani.

Hata wewe uliifanya vyema kabisa kazi ya uchawa Kwa Mwendazake
 
Back
Top Bottom