Ninamaanisha huyu Mwenyekiti anayeongoza hivi Vikao vya kupokea maoni ya wadau kwenye miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa Bungeni .
Ifahamike kwamba Utumishi wa Umma siyo jambo la siri ...
Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026?
Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi.
Nadhani Watanganyika tusiwaige...
Wizara hizi kwa sasa zimekosa mwelekeo na hazijui mbele wala nyuma.. zitazimika muda sio mrefu..
1. Wizara ya afya
2. Wizara ya ujenzi
3. Wizara ya Umeme ( Nishati)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani.
Waziri Makamba ametoa...
Wanajamvi actually mimi kama Mwana- CCM nimejisikia Vibaya kuona maoni mengi ya Wadau yanakuwa ni maoni yanayopiganiwa na CHADEMA.
Hii kwa Great Thinkers tafsiri yake ni kwamba CHADEMA ndiyo...
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, Serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za...
Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania...
Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha...
Utangulizi.
Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa...
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho...
Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa...
Jumatatu ya Juni 5,2023, BBC Swahili imetangaza kuanza msimu wake mpya wa matangazo ya runinga kutokea mjini Nairobi nchini Kenya badala ya London, Uingereza.Mitandaoni mjadala umekuwa ni kwanini...
Gharama nafuu za umeme ni sababu muhimu inayoweza kuwavutia wawekezaji wa viwanda. Gharama za umeme zina athari kubwa kwa uendeshaji wa viwanda, na viwanda vinavyotumia umeme kwa wingi vinaweza...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Isack Sumbali ametoa ombi kwa Vikao vya juu vya maamuzi vya Chama hicho kuanzia Kamati Kuu...
Historia ya utungaji na upitishaji sheria nchini Tanzania, kwa mujibu wa tovuti ya bunge ni kuanzia mwaka 1963. Miaka miwili baada ya kupata uhuru, mwaka 1963 tukaunda sheria 246, hizi ndio idadi...
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi.
https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s
Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa...
Sisi wana Mbeya tayari tunaye mbunge wetu 2025.
Tunashauri urudi kwenu Kyela maana Mbeya yupo mbunge wetu tuliye mzoea.
Jiandae kabisa maana tumeshaamua.
Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na...
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.
Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.