Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ? Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi? Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Watumishi wa umma wanapaswa kuwa watu wanaotumia akili na busara kubwa sana. Wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi , wanalipwa kwa sababu kuna watu waliamua kufanya biashara. Lakini wao ni kama...
12 Reactions
182 Replies
31K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya...
1 Reactions
21 Replies
22K Views
Wadau nawasalimu, hebu tukumbushane kidogo. Katiba iliyopo ya mwaka 1977 ilitungwa na kuandikwa na makada 40 wa chama kwa mgawanyo wa makada 20 kutoka Tanganyika na makada 20 kutoka Zanzibar...
1 Reactions
3 Replies
753 Views
Nimesikia kupitia Al jazeera kwamba Palestine kwa ujumla ina uhaba mkubwa sana wa Madaktari na Wauguzi kwa sasa Nashauri Waziri wa afya aongee na balozi wa Palestine tupeleke vijana wetu wakatoe...
2 Reactions
11 Replies
714 Views
Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Napenda kuwasilisha maoni...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama ni kweli Katiba ya JMT inamfanya Rais kuwa nusu mungu basi ni Mwalimu Nyerere mwenyewe Ndiye aliyetaka iwe hivyo Ikumbukwe wananchi wa Tanzania hawajawahi kutengeneza Katiba yao Ahsanteni...
1 Reactions
3 Replies
482 Views
Habari wanaJF, Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya...
50 Reactions
998 Replies
118K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation - Pemba visiwani Zanzibar...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli? B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata...
0 Reactions
6 Replies
550 Views
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo. Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa...
16 Reactions
73 Replies
3K Views
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi...
5 Reactions
13 Replies
22K Views
Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Nitamuomba mbunge wangu wa jimbo la Kawe Gwajima apeleke mswada Binafsi Yafanyike marekebisho Madogo ya Katiba ya JMT ili kuondoa kipengele kinacholazimisha Waziri kuwa mbunge Kwamba Waziri...
4 Reactions
10 Replies
565 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 08...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Back
Top Bottom