Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini amekutana na Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Nishati (International Energy Agency - IEA) Bw. Faith Birol, tarehe 10...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Tokea dunia iumbwe hapajawahi kuwa na ombaomba kwenye nchi yeyote duniani aliye wahi kuwa tajiri! Mbaya zaidi hata unachomba omba unakitumia kwenye vitu visivyoingiza fedha! Ili awe tajiri lazima...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Taarifa Kwa Umma Juu ya Wanafunzi Waliopo Chuo Cha Mafunzo Waliopata Msamaha Katika Kuadhimisha Sherehe za Miaka Sitini (60) ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tarehe 12 Januari, 2024.
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Huu ndo ukweli! Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani. Ni wakati sasa nafasi za watendaji...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
USHINDI WA RAIS SAMIA 2025 NI ASILIMIA 95. Tanzania tumezoea Siasa za Ushawishi kufanya siasa bila ya ugumu wa kuhasimia au kugawana hizi ndiyo siasa tunazozitaka. Mawazo tofauti si chuki si...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Nadhani Meya ajitathmini kama ana uwezo wa kuisimamia halmashauri ya Jiji kama madudu yote yanafanyika mbele ya macho yake. Inafikia mpaka Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri wanaingilia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina mpango mzuri wa kujenga majengo ya kisasa ya Maonesho ya Biashara na kuwa kivutio kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Sisi wapiga kura wa Mwandiga tulisha umwa na nyoka sasa tunaogopa hata mjusi. Kuna harakati hapa Mwandiga za kuhakikisha mbunge wa zamani ZZK anarudi kugombea jimboni hapa. Lkn kwa taarifa yake...
3 Reactions
86 Replies
3K Views
Hayo ndio mapito waliyopitia Chadema awamu iliyopita Tulishuhudia Kikundi cha wabunge na Madiwani waliounga mkono Juhudi, tulishuhudia akina Sugu walifungiwa Jela lakini zaidi tulishuhudia...
2 Reactions
9 Replies
603 Views
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Na Zitto Kabwe "Mheshimiwa Spika, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ya kuchangia hotuba ya Wizara hii ambayo ni muhimu sana na ni moja ya Wizara ambazo ni andamizi katika uendeshaji wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Kahama Jummane Kishimba amekemea tabia ya Viongozi kuja na maji ya dukani kuzindua miradi ya maji ya Wananchi akisema huo ni ubaguzi. Bwana Kishimba amesema Ili Wananchi Wawe na Imani...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Ujumbe kuntu huu 😂😂😂😂 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, bali ni mfuko wa kuchangiana ili mmoja atakapoumwa aweze kupatiwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanabodi, Wiki iliyopita, nimehudhuria Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa kujadili miswada mitatu ya Sheria ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa, na Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Ulifunguliwa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna mambo ukiwasililiza CHADEMA na wafuasi wake unabaki unacheka mwenyewe tu. Na kama kiongozi ukitaka uwasikilize CHADEMA kwa kila kitu ni lazima wakupoteza tu ,maana ni...
0 Reactions
8 Replies
599 Views
Back
Top Bottom