ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,744
Serikali ya Tanzania ya awamu ya 5 & 6 zimetunia zaidi ya Shilingi Trilioni 3 Kununua Ndege 13 ambazo mara zikamatwe mara zigaribike hovyo mara zipaki bila matumizi nk Kwa Ajili ya Shirika la ATCL.
Inasikitisha sana aina ya akili walizonazo viongozi wa Tanzania Kwenye kupima na kulinganisha matokeo ya maamuzi Yao na athari zake kwenye uchumi na maisha ya mtu mmja mmja.
Ukiacha mambo ya proudness hakuna kingine chochote hizo ndege zimezalisha Kwa Taifa zaidi ya hasara.Ukiacha kwamba zimenunuliwa Kwa gharama kubwa(Zaidi ya Dola bil.1.348) lakini zinaendeshwa Kwa hasara yaani tunakusanya Kodi na kwenda kuhudumia ndege.
Najiuliza hivi kulikuwa na haja gani au ulazima upi wa kununua ndege hizo Kwa pupa ikiwa hazileti faida? Kwa nini Huwa Hatuwezi kulinganisha uwekezaji Kwa kuangalia matokeo?
Kama Serikali ingeachana na ndege tusingekuwa na Shirika la Ndege sawa Je tungepata hasara gani kama Taifa? Mana kupanga ni kuchagua Sasa unapochagua hasara hii inakuaje?
Kama Kwa miaka 7 Serikali ingesema sinunui ndege badala yake naweka kipaombele kwenye Barabara,ndio kusema zaidi ya km 3,000 za lami zingekuwa zimejngwa Nchi nzima.Km 3,000 unazungumzia Mikoa yote kuunganishwa,Nchi na Nchi Kwa lami na Wilaya kwa.wilaya Kwa lami.
Matokeo ya uwekezaji kwenye Barabara yangeleta maendelea ya haraka Kwa mtu mmja mmja na Kwa Taifa badala ya hasara.Ni vyema viongozi wajifunze kufikiria kabla ya kufanya maamuzi.
Binafsi sio tuu ndege Bali hata Sgr nilipinga sana wakati ule na Hadi kesho napinga Kwa sababu sio miradi ambayo italeta Tika badala yake italeta hasara.Kama Mwendokasi inaleta hasara unategemea Sgr na ndege zilete faida?
Kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya kukimbilia miradi ambayo haikuzi uchumi haraka badala yake inahitaji uchumi ukue ndio ije kuongeza Nguvu,so tungeanza na Barabara zikishachiousha uzalishaji ndio tunakuja Sasa kwenye reli na ndege Ili zije kubeba kilicho tayari hapo walau kunakuwa na Tija badala ya kutafuta sifa za kijinga huku unazidi kuwa maskini.
Inasikitisha sana ila ndio basi tena Nchi hii Ina watu wengi walionyimwa akili ndio maana mkulima aliyehoi Kwa umaskini anashangilia ndege 😁😁.
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1744432821014343902?t=gPQdRyoLiteKMVe1H3rUyA&s=19