Foleni Barabara ya Dodoma - Dar husababisha hasara kubwa Kwa Taifa

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.

Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu.

Barabara hii kufungwa kwa zaidi ya saa Tano ni hasara kubwa sana kwani zaidi ya robo ya Watanzania wanaishi mikoa ya Kanda za ziwa na mikoa kama Kigoma, Kagera, Tabora na Singida.

Lakini pia barabara hii inategemewa sana na nchi kama DR Kongo hasa mashariki, Rwanda, Burudi, Uganda na Sudan kusini.

Kusema kweli leo Chain supply imeathirika Kwa kiwango kikubwa.
Sijui Leo viongozi wanaotoka Mashariki na Kusini wanaotumia barabara hii wakifika hapa watafanyaje.

Hizi mvua za mwaka huu zimeleta Neema na balaa kubwa kwa kiasi chake.

Toka saa 11 Alfajir hakuna gari kukatika hapa kwenda upamde wowote.
 
Suluhisho la Foleni

1. Kibaha-Chalinze barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
2. Chalinze-Morogoro barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
3. Morogoro-Dumila barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
4. Dumila-Chamwino Dodoma barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
5. Chamwino Dodoma-CBE/Bunge barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
6. Morogoro-Mikumi barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
7. Tegeta-Bunju barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
8. Bunju-Bagamoyo barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
9. Mbagala Rangi3-Vikindu Kisemvule barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
10. Dodoma CBD-Nala Mnadani barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
11. Dodoma CBD-Msalato barabara ya Arusha njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
12. Dodoma CBD-barabara ya Iringa (njia nne mbili kwenda mbili kurudi)
13. Morogoro-Dodoma highway (B) one pedestrian flyover bridge to Msamvu bus terminal
14 Morogoro-Dar highway (C) one pedestrian flover bridge to Msamvu bus terminal
15. Msamvu-CBD road (D) expansion for four ways
1704792022512.png

16. Eneo lisilo rasmi nje ya stendi ya Msamvu ambalo hutumika kama ofisini na kituo cha mabasi ya kwenda Dodoma serikali inunue eneo hilo na kutoa kwa wawekezaji wajenge hoteli, super-market na recreational activity zingine zitakazonawirisha uchumi wa Morogoro. Eneo linalozunguka hoteli ya Morena mashariki mwa stendi ya Msamvu, raia wanunuliwe na kuhamishwa ili majengo yenye hadhi ya mji utarajiwao kuwa jiji uvutie zaidi kuliko ilivyo sasa.
1704792626244.png
 
View attachment 2866070

View attachment 2866084
Mkuu tutasubiri sana, Mipango Miji(Ardhi) wako busy na kuuza viwanja walivyohodhi!
 
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.

Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu.

Barabara hii kufungwa kwa zaidi ya saa Tano ni hasara kubwa sana kwani zaidi ya robo ya Watanzania wanaishi mikoa ya Kanda za ziwa na mikoa kama Kigoma, Kagera, Tabora na Singida.

Lakini pia barabara hii inategemewa sana na nchi kama DR Kongo hasa mashariki, Rwanda, Burudi, Uganda na Sudan kusini.

Kusema kweli leo Chain supply imeathirika Kwa kiwango kikubwa.
Sijui Leo viongozi wanaotoka Mashariki na Kusini wanaotumia barabara hii wakifika hapa watafanyaje.

Hizi mvua za mwaka huu zimeleta Neema na balaa kubwa kwa kiasi chake.

Toka saa 11 Alfajir hakuna gari kukatika hapa kwenda upamde wowote.
Mwaka ujao wa Fedha 2024/25 itaanza ujenzi wa njia 6 Dar-Moro na njia 4 Moro-Dom Kwa Express way so hizo shida zitaondoka.

Mind you itakuwa ya Kulipia,pia Kuna bullet train zinaanza July
 
Moro Dsm safari ya saa moja na vidakika, lakini inatumia saa 3 na zaidi, magari yanaunguza mafuta tu yakienda polepole au yakiwa yanajisogeza taratibu.
 
Suluhisho la Foleni

1. Kibaha-Chalinze barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
2. Chalinze-Morogoro barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
3. Morogoro-Dumila barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
4. Dumila-Chamwino Dodoma barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
5. Chamwino Dodoma-CBE/Bunge barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
6. Morogoro-Mikumi barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
7. Tegeta-Bunju barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
8. Bunju-Bagamoyo barabara njia nne (mbili kwenda mbili kurudi)
9. Mbagala Rangi3-Vikindu Kisemvule barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
10. Dodoma CBD-Nala Mnadani barabara njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
11. Dodoma CBD-Msalato barabara ya Arusha njia sita (tatu kwenda tatu kurudi)
12. Dodoma CBD-barabara ya Iringa (njia nne mbili kwenda mbili kurudi)
13. Morogoro-Dodoma highway (B) one pedestrian flyover bridge to Msamvu bus terminal
14 Morogoro-Dar highway (C) one pedestrian flover bridge to Msamvu bus terminal
15. Msamvu-CBD road (D) expansion for four ways
View attachment 2866070
16. Eneo lisilo rasmi nje ya stendi ya Msamvu ambalo hutumika kama ofisini na kituo cha mabasi ya kwenda Dodoma serikali inunue eneo hilo na kutoa kwa wawekezaji wajenge hoteli, super-market na recreational activity zingine zitakazonawirisha uchumi wa Morogoro. Eneo linalozunguka hoteli ya Morena mashariki mwa stendi ya Msamvu, raia wanunuliwe na kuhamishwa ili majengo yenye hadhi ya mji utarajiwao kuwa jiji uvutie zaidi kuliko ilivyo sasa.
View attachment 2866084
Kati ya section zote ulizoeleza za Barabara kuu umepatia section chache.

Barabara zote za kutoka Dom CBD kwenda Mikoani zitajengwa Kwa njia 4 Kwa umbali wa km 50 Kila upande isipokuwa Dom-Moro ndio itakuwa full njia 4.

Kwa upande wa Dar-Moro ni njia 6 full.

Kuanzia Iringa(Ruaha mbuyuni)-Moro Mpango ni kuifanyia ukarabati wa njia 2 ila tuu itapanuliwa kama ilivyo Ruaha mbuyuni -Igawa.
 
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.

Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu.

Barabara hii kufungwa kwa zaidi ya saa Tano ni hasara kubwa sana kwani zaidi ya robo ya Watanzania wanaishi mikoa ya Kanda za ziwa na mikoa kama Kigoma, Kagera, Tabora na Singida.

Lakini pia barabara hii inategemewa sana na nchi kama DR Kongo hasa mashariki, Rwanda, Burudi, Uganda na Sudan kusini.

Kusema kweli leo Chain supply imeathirika Kwa kiwango kikubwa.
Sijui Leo viongozi wanaotoka Mashariki na Kusini wanaotumia barabara hii wakifika hapa watafanyaje.

Hizi mvua za mwaka huu zimeleta Neema na balaa kubwa kwa kiasi chake.

Toka saa 11 Alfajir hakuna gari kukatika hapa kwenda upamde wowote.
Bila picha ni uzushi
 
SGR ingepunguza hizo mafoleni lakini ndio kama hivyo Dana Dana kila siku,

Wao wananunua malori tu.
 
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.

Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu.

Barabara hii kufungwa kwa zaidi ya saa Tano ni hasara kubwa sana kwani zaidi ya robo ya Watanzania wanaishi mikoa ya Kanda za ziwa na mikoa kama Kigoma, Kagera, Tabora na Singida.

Lakini pia barabara hii inategemewa sana na nchi kama DR Kongo hasa mashariki, Rwanda, Burudi, Uganda na Sudan kusini.

Kusema kweli leo Chain supply imeathirika Kwa kiwango kikubwa.
Sijui Leo viongozi wanaotoka Mashariki na Kusini wanaotumia barabara hii wakifika hapa watafanyaje.

Hizi mvua za mwaka huu zimeleta Neema na balaa kubwa kwa kiasi chake.

Toka saa 11 Alfajir hakuna gari kukatika hapa kwenda upamde wowote.
1704804201334.png
1704804292117.png

Kibaigwa, wakati wa mvua.
 
Back
Top Bottom