Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,334
- 3,293
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao 😂