Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=zEW8KhIHLF0 Chanzo: Simulizi Na Sauti
-1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari. Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu. Kuanzia Tanesco, Dawasco. Masuala ya ajira. Rushwa zisizoeleweka. Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa. Inamuhitaji mtanzania asiye na...
3 Reactions
8 Replies
492 Views
Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Ukweli usemwe Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia...
14 Reactions
84 Replies
4K Views
Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za...
28 Reactions
49 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ndiye Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama...
0 Reactions
5 Replies
893 Views
SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili...
23 Reactions
128 Replies
27K Views
Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie. Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado...
59 Reactions
437 Replies
26K Views
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wametakiwa kuchagua Viongozi bora wenye weledi wa kusimamia maslahi ya Wafanyakazi na wanaoweza kuendesha Baraza kwa tija...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Fanya shughuli mapema na kwa haraka sana huku macho na masikio yako yakitegwa na kuelekezwa visiwani Zanzibar ambako Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri...
1 Reactions
58 Replies
4K Views
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na...
42 Reactions
122 Replies
11K Views
Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho. Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani. Kauli hiyo Thabiti imetolewa...
23 Reactions
52 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa. Lakini Dkt. Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao. Dkt...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukifuatilia Historia za vyama vikuu vya upinzani Tanzania vingi huwa vinaibuka na kupotea kama mvua za msimu, havidumu. Vyama vikubwa vingi vya upinzani Tanzania viliundwa mwaka 1992. NCCR...
1 Reactions
4 Replies
666 Views
Nimekaa na kutafakari na hadi muda huu sijapata jibu sahihi. Baada tu ya mwenyekiti wa CHADEMA kutangaza maandamano th 24/01/2024, Ni kiongozi wa ngazi ya mkoa (mkuu wa mkoa) anaamuru vikosi vya...
1 Reactions
1 Replies
462 Views
Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…