Mzee Kinana: Dkt. Nchimbi ameanzia Chipukizi, UVCCM, Mjumbe wa CC ya NEC, DC, Mbunge, Waziri, Balozi kwahiyo ana Sifa zote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa.

Lakini Dkt. Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao.

Dkt. Nchimbi siyo Kijana na Siyo Mzee hivyo ana uwezo wa kuwasemea Vijana na pia Kufanya maamuzi kwa Hekima za kiutu Uzima, amesema Kinana.

Dkt. Nchimbi anajua ni Wakati gani awe ngangari na wakati gani atumie Diplomasia kwani ni mzoefu kote kote, amemalizia Kinana

Mungu mbariki Dkt. Nchimbi
 
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa

Lakini Dr Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao

Dr Nchimbi siyo Kijana na Siyo Mzee hivyo ana uwezo wa kuwasemea Vijana na pia Kufanya maamuzi kwa Hekima za kiutu Uzima, amesema Kinana

Dr Nchimbi anajua ni Wakati gani awe ngangari na wakati gani atumie Diplomasia kwani ni mzoefu kote kote, amemalizia Dr Kinana

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Waliopata kupika ugali wanajua kuwa, ukikosea step mwanzo ukawa mbichi—hata uongeze gunia zima la unga —ugali hubakia tepetepe na mbichi!

Fomula ni hiyo hiyo hata kwenye ujenzi wa vyama: Ukikosea kwenye msingi yake, hata uongeze katibu mkuu mpya mwenye jina—ugali utabaki tepetepe na baridi kabisa.
 
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa

Lakini Dr Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao

Dr Nchimbi siyo Kijana na Siyo Mzee hivyo ana uwezo wa kuwasemea Vijana na pia Kufanya maamuzi kwa Hekima za kiutu Uzima, amesema Kinana

Dr Nchimbi anajua ni Wakati gani awe ngangari na wakati gani atumie Diplomasia kwani ni mzoefu kote kote, amemalizia Dr Kinana

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Huyu namfahamu tangu akiwa Chipukizi pale Mbeya. Akiwa Umoja wa Vijana alikuwa kwenye kikundi cha ngoma akikata mauno, pia akiimba kwaya akimwiga marehemu John Komba, amesoma Sangu.

Sina nongwa naye
 
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa

Lakini Dr Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao

Dr Nchimbi siyo Kijana na Siyo Mzee hivyo ana uwezo wa kuwasemea Vijana na pia Kufanya maamuzi kwa Hekima za kiutu Uzima, amesema Kinana

Dr Nchimbi anajua ni Wakati gani awe ngangari na wakati gani atumie Diplomasia kwani ni mzoefu kote kote, amemalizia Dr Kinana

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Mahali Ccm ilipo chemsha ni kwa Makonda.
Japo sasa kawekewa breki
Ila hapo kwa Makonda ange wekwa yule Rc alieko Njombe, Ccm inge kuwa mpya.
 
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa

Lakini Dr Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao

Dr Nchimbi siyo Kijana na Siyo Mzee hivyo ana uwezo wa kuwasemea Vijana na pia Kufanya maamuzi kwa Hekima za kiutu Uzima, amesema Kinana

Dr Nchimbi anajua ni Wakati gani awe ngangari na wakati gani atumie Diplomasia kwani ni mzoefu kote kote, amemalizia Dr Kinana

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Naunga mkono hoja na huko mbeleni mtu kama huyu, atatufaa sana!. Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo
P
 
Ccm ukipata madaraka mapya wanakusemea vizuri sana kwenye safari yako ya uongozi ndo itajua kuwa hayakutoka moyoni
Bi kama mtu akifa anasemwa vizuri sana kuliko alipokuwa hai
 
Amesahau kusema kipindi Muandishi wa Habari Mwangosi anauliwa makusudi na Polisi chini ya Kamuhanda huyo Nchimbi ndio aliyekuwa waziri wa Mambo ya ndani. Kwamba sasa tutegemee vifo kwa wapinzani
 
Pia Mzee wetu kinana amesahau/ameogopa kusema kwamba,2015 wakati wa mkorogano wa kumtafuta mgombea u-rais
wa CCM,huyu Dr.Nchimbi aliibukia team Lowasa.Mwenyekiti wake wa CCM(JAKAYA)alipoingia ukumbini kwenye kikao cha kupitisha jina la mgombea wa CCM,..Dr Nchimbi alimuimbia Lowasa kale ka-wimbo-"TUNA IMANI NA LOWASAA..OYAA ! OYAA ! Badala ya kuimba TUNA IMANI NA KIKWETE. shukrani kwa Hayati Wilium Mkapa,ndio aliyeokoa Jahazi.Otherewise,hata mzee JK alibaki kushangaa tu na kusononeka pale ukumbini asijue la kufanya.
Kwa hiyo huyu ni mtu hana msimamo thabiti.Ni rahisi sana kuyumbishwa na upepo mwepesi.Huenda pia huwezi kujua labda huyu ndie mgombea ajaye wa u-rais CCM 2030,baada ya Mother,kama hatatengenezewa majungu/Fitina.Ila wakati huo ukifika,wataparurana na yule anayesimamia Fedha kwa sasa.
 
Back
Top Bottom