Ndugu Watanzania nilimepata fursa ya kuwa maeneo ya visiwa vya Mafia. Kuna Ujio wa Mafia Dance Festival (http://www.mafiadancefestival.com) ambayo inategemea kufanyika kuanzia tarehe 1 mpaka 15...
Heshima kwenu wakuu,
Mimi naomba tutumie Mnakasha huu kutoa mwanga kwa Serikali na Jamii kwa Ujumla nini kifanyike ili kukomesha vitendo Vibaya vinavyoendelea Pwani. Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa...
Salaam
Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi...
Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa...
Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka...
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..
Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana.
Lakini leo...
Nimesikitika tena nimesikitika sana nilipoona clip ikionyesha jinsi mabus ya UDART yalivyoachwa hovyo yakizama kwenye matope kwenye karakana ya UDART kisa uharibifu wa gearbox. Mhe. Waziri Mkuu...
Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali.
Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni...
Kuna wanaharakati wanaanza kushinikiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege aondolewe. Kumwondoa nikudhoofisha kujiamini kwa wateule wa Mhe. Rais.
Barua ya kusitishwa kwa safari za ndege za...
Jambo ambalo sijalifahamu kwa kiwango kikubwa huwa ni kwanini suala la uongozi ukitaka " madaraka" huwa ni suala la kufa na kupona kwa nchi nyingi za kiafrika.
Mtu mmoja aliwahi kuniambia kwamba...
Walimu ni miongoni mwa raia wenye uelewa wa kutiliwa mashaka. Jamii inatarajia mambo makubwa kutoka kwa walimu lakini hawa viumbe wameshindwa kabisa kuishi maisha yanayoendana na taaluma yao...
Kupitia ukurasa wa X Mhe. Mwigulu nchemba ametaja safu itakayoongoza mchuano wa uchaguzi 2025. Amewataja Mh.SSH, Akamtaja Kinana, Mzee Mpango na Nchimbi huku yeye akijitabiria kuwa kiungo...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema, ameonyesha kuchukizwa na maneno ya Wanachama wa CCM mitandaoni kuhusu Huruma ya Rais Samia kwa Chadema.
Kupitia...
Nimeona mahali Mzungu mmoja anaishi Arusha analalamika sana kule Facebook, kwamba alienda Masai Mara kwa safari ya Private na gari lenye namba za Usajili za Tanzania wakamzuia kuingia Hifadhini...
Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa...
Godbless Lema ameeleza kuwa, umaskini wa Tanzania auletwi na Mungu wala Shetani bali Unaletwa na CCM.
Katika kauli hii imepiga marufuku wote wanaoombe maendeleo ya nchi na wale wanaomkemea...
Awamu ya tano wamekuja na miradi ya PPT yaani muwekezaji anapewa mradi anaujenga kwa gharama zake kisha anaweka gharama za utumiaji ili kurejesha gharama alizotumia plus faida labda kwa miaka 30...
CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024.
Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama...
Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+
Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.
Chalamila kumbuka kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.