CHADEMA kuanika hadharani nyaraka za Maridhiano zilizowakimbiza CCM, lengo ni kuiumbua mbele ya Umma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,723
218,285
Screenshot_2024-01-15-14-50-10-1.png

Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani.

Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya Maridhiano.

Lengo la Jambo hilo Muhimu ni kuwezesha wananchi wote kujua kila kilichozungumzwa kwenye maridhiano hayo na kupima wenyewe utapeli wa ccm, lengo lingine kabambe ni kuhakikisha Viongozi wa CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa Taifa WANAUMBUKA MBELE YA JAMII YA WATANZANIA KWA KUKWEPA HAKI NA KUKUMBATIA DHULUMA

Usithubutu kuondoka JF, Kama kawaida yetu tutakuwekea Uhondo wote hapa hapa katika mfumo ule ule wa kizuri kula na nduguyo.
 
Hao nao tushawachoka, kwanini wasingeweka wazi kuanzia kipindi kile kwani walikua wanaficha Nini cha maana? Kua na wapinzani aina hii miaka nenda miaka Rudi ni sawa na kufanya majaribio yaleyale katika Hali ile ile halafu unategemea kupata matokeo tofauti....

Inahitajika watu wenye mawazo mapya, kwa siasa zetu tunahitaji kina mwambukusi na mdude kama elfu Moja, CCM haiwezi kutolewa madarakani mpaka wapatikane wapinzani 'vichaa' wasioogopa kitu
 
View attachment 2872561

Hatimaye Chadema imeamua kukata mzizi wa fitina , kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani .

Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho , John Heche , aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya Maridhiano .

Lengo la Jambo hilo Muhimu ni kuwezesha wananchi wote kujua kila kilichozungumzwa kwenye maridhiano hayo na kupima wenyewe utapeli wa ccm , lengo lingine kabambe ni kuhakikisha Viongozi wa CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa Taifa WANAUMBUKA MBELE YA JAMII YA WATANZANIA KWA KUKWEPA HAKI NA KUKUMBATIA DHULUMA

Usithubutu kuondoka JF , Kama kawaida yetu tutakuwekea Uhondo wote hapa hapa katika mfumo ule ule wa kizuri kula na nduguyo
CCM ni matapeli sana hawafai
 
Kweli kabisa isije ikaonekana Chadema wametuzunguka.... Mwaga mboga
 
Toka mwanzo tuliwambia wekeni wazi hayo makubaliano mkaona watu wajinga sasa mnalialia baada ya CCM kuwala kichwa…CCM ndio hiyo wala haigopi nyaraka namkichelewa wanaweza kuwawai na kuweka wazi hizo nyaraka
 
Hao nao tuwashawachoka, kwanini wasingeweka wazi kuanzia kipindi kile kwani walikua wanaficha Nini Cha maana? Kua na wapinzani aina hii miaka nenda miaka Rudi ni sawa na kufanya majaribio yaleyale katika Hali ile ile alafu unategemea kupata matokeo tofauti....

Inahitajika watu wenye mawazo mapya, kwa siasa zetu tunahitaji kina mwambukusi na mdude kama elfu Moja, ccm haiwezi kutolewa madarakani mpaka wapatikane wapinzani 'vichaa' wasioogopa kitu
Sharti la maridhiano lzima kuwe na faragha mpaka mnapofika mwisho.
 
Toka mwanzo tuliwambia wekeni wazi hayo makubaliano mkaona watu wajinga sasa mnalialia baada ya CCM kuwala kichwa…CCM ndio hiyo wala haigopi nyaraka namkichelewa wanaweza kuwawai na kuweka wazi hizo nyaraka
Tundu lissu kuna Lecture alitoa akiwa Kenya baada ya kufungua kitabu Chake alishauri kama kweli serikali ina nia ya Maridhiano basi Kuundwe tume ya Ukweli na Usuluhishi

Truth and reconciliation

Kiukweli TL yuko mbele ya muda
 
Kwa hiyo kila kitu kinawekwa page hadi page au kwenye milo wataruka kidogo
Nchi masikini huwa siwaamini kabisa wote ni tumbo tu lijae, njaa kidogo tu kelele
 
Hao nao tuwashawachoka, kwanini wasingeweka wazi kuanzia kipindi kile kwani walikua wanaficha Nini Cha maana? Kua na wapinzani aina hii miaka nenda miaka Rudi ni sawa na kufanya majaribio yaleyale katika Hali ile ile alafu unategemea kupata matokeo tofauti....

Inahitajika watu wenye mawazo mapya, kwa siasa zetu tunahitaji kina mwambukusi na mdude kama elfu Moja, ccm haiwezi kutolewa madarakani mpaka wapatikane wapinzani 'vichaa' wasioogopa kitu
Kwa kawaida maridiano au usuluhishi, mara nyingi terms zake huwa ni siri mpaka pale pande zote zinazohusika zinapokuwa zimeridhia, ndiyo huwekwa public.

Sahizi zinaweza kuwekwa public ili watu wajue ni mambo gani yalizuia kuendelea. Watakuwa wamefanya vyema.
 
Back
Top Bottom