MIHULU
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 301
- 394
Kumekua na watu wengi wanaoamini Walimu ndo wahusika wakuu wanaoisaidia CCM na dola kuiba kula wakati ya uchaguzi. Ilihali ukweli upo wazi kabisa,mwl ni msimamiz tu wa kituo ambapo Kuna ma wakala wa kila chama,na wanashiriki zoez Hilo mwanzo mwisho ,,,
Ukweli NI kwamba mwizi mkuu ni Mkurugenzi mteule wa Rais ambaye ndo
Msimamiz mkuu wa uchaguz wilaya. Huyu ndo anabeba maelekezo na anajumuisha matokeo ya vituo vyote na kutangaza mshindi,,,huyu ndo anapaswa kunyooshewa vidole, Walimu husimamia Kaz yako vituoni tu.
Sasa nyinyi mnaoamini Walimu ndo tatizo twendeni na Mbowe tuandamane tushinikize tume huru ya uchaguzi.. sio tuwe team lawama tu,,,
NB : ILI MBEGU ICHIPUE NA KUOTA NI LAZIMA IFE NA KUOZA