Tanzania tusije kubali haraka wazo la kuondoa mipaka yetu ya nchi kama wanavyotaka baadhi ya MaRais wa Afrika Mashariki

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,327
9,748
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona kauli za baadhi ya ma Rais wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki akiwepo Rais wa kenya Mheshimiwa William Ruto,wakipendekeza na kutaka kuondoa kabisa habari za mipaka baina ya nchi na nchi. Yaani iwe ni kutembea na kuvuka tu bila kufuata taratibu za kisheria zilizopo na kuingia nchi nyingine.

Wazo na mawazo haya mimi siyaungi mkono na sitaki nchi yangu Tanzania iruhusu wazo hilo na kulikubali kwa haraka haraka pasipo maandalizi. Ikumbukwe ya kuwa ni Tanzania pekee ndio nchi inayomezewa mate na kila nchi mwanachama wa EAC. Hii Ni kutokana na utajiri mkubwa sana tulionao na tuliojaliwa kuwa nao Tanzania.kikubwa sana ni namna Tanzania tulivyopewa neema ya ardhi kubwa yenye rutuba na yenye kustawisha kila aina ya zao .ni rutuba kila eneo utakalo kwenda ni lazima ufurahie uumbaji wa Mungu na neema ya kipekee aliyotujalia .

Angalia nchi kama kenya ambako ardhi kwao ni kama dhahabu baada ya kuwa ardhi kubwa imemilikiwa na matajiri wakubwa na wanasiasa wakubwa na wakongwe na hivyo kuwaacha wananchi wake kubakia mikono mitupu. Pia ni lazima tufahamu ya kuwa ardhi ndio utajiri namba moja kwa mwanadamu. Chochote utakachotaka kuwekeza ni lazima uwekeze ardhini tu. Ardhi ambayo ni Tanzania pekee tulio nayo ya kutosha katika ukanda huu wa Afrika mashariki..

Kwa hiyo tukiruhusu kila sheria ikiwepo ya umiliki wa ardhi kiholela kwa wageni,mwisho wa siku tutakuja jikuta Watanzania tunabakia watumwa na vibarua kwenye ardhi yetu wenyewe ,pia tutajikuta hatuna mahali tena pa kulima hata mahindi ya chakula. Maana tusije shangaa hata serikali zao zikiwafadhili watu wao kwa mapesa mengi kuja kununua na kumiliki ardhi hapa nchini . tukija kushituka tunajikuta ardhi yote ipo mikononi mwa wageni huku sisi migogoro ya ardhi ikiendelea kushamiri ,baada ya kukosekana mahali pa kulima wala kuchungia mifugo yetu.

Kwa hiyo tuwe makini sana tena sana hasa kwa wafanya maamuzi na watunga na wapitisha sheria. Katika suala ambalo ningependa lizingatiwe na lilindwe kwa wivu mkubwa sana basi ni suala la ardhi yetu . Nawaombeni sana viongozi wetu kwa moyo wa unyenyekevu na heshima kubwa sana kwenu.tutunzieni ,tulindieni ardhi yetu kwa gharama yoyote ile. Ni bora waseme sisi ni vikwazo kwa jumuiya ya Afrika mashariki lakini tusiruhusu ardhi yetu imilikiwe na yoyote yule kutoka nchi yoyote ile.

Kwa umaskini wa watanzania wakiruhusiwa wauze kiholela ardhi kwa wageni watakuja watu na mapesa mengi sana mapya mapya na kukomba ardhi yote .pesa zinaisha lakini ardhi inabaki tu.kwa hiyo ni bora tubaki na umaskini lakini tuwe na ardhi tunayoweza kuitumia kujikwamua kiuchumi na kuupiga teke umasikini. Pia suala la kuingia kiholela nalo tusilikubali kirahisi maana amani ya nchi yetu ndio msingi wa maendeleo yetu.maana katika kuingia hovyo hovyo tunaweza kujikuta tunaingiza magaidi,majasusi, wapelelezi na hata watu wenye nia ovu ya kuvuruga amani yetu kwa kufanya Vitendo vinavyoweza kuwatisha watalii , wafanya biashara wakubwa na wawekezaji kuja Tanzania na hivyo kuharibu uchumi wetu.. Siyo kila mtu anayeipenda Tanzania na kufurahia amani tuliyonayo Tanzania .

Kwa hiyo ni lazima tuwe makini sana.ni lahisi amani kuondoka kuliko kuirejesha amani.ni Lazima tuwe makini katika kila sheria wanayotaka tuiridhie wenzetu hawa majirani zetu.ni bora tuseme sisi katika hili ngoja tukajadili ndani ya Taifa letu na tusikie wananchi wanasemaje. Watanzania ni lazima tuwe makini na shaka kwa kila sheria .tukiwa na mashaka na kila sheria inayotua mbele yetu maana yake tutakuwa makini katika kufikiri na kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.tuwe majeuri na wabishi na siyo kukubali kila kitu . Ni lazima hata wao watuogope na watuheshimu kwa kusema hii sheria au hili wazo sijuwi kama Tanzania itaridhia?

Ni lazima wajuwe kuwa Tanzania ina msimamo juu ya ardhi yake,amani yake,mipaka yake na uhuru wake.nchi zingine zinataka tukubali kila kitu ili mwisho wa siku sisi tuwe Jalala la kila kitu na uwanja wa fujo au mbuga ya wanyama. Mimi naipenda sana nchi yangu .katika suala la ardhi na kuingia kiholela mimi sipo tayari kabisa kwa sasa. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viendelee na kazi nzuri sana vinavyoifanya kila siku ya kulinda mipaka yetu kwa jasho na damu.

Visiruhusu nchi yetu ikawa wazi kwa kila mtu kupata taarifa za nchi yetu .nasi watanzania tuendelee kuwa wazalendo kwa kuchungana juu ya mtu tunayemtilia mashaka na kutoa taarifa kwa vyombo vyetu .lakini pia kujizuia kutoa kila taarifa kwa mtu ambaye hatumfahamu na wala hatujawahi kumuona. Askari wetu kuwa wazalendo na wenye kuzingatia viapo vyenu.msiuze siri za Taifa wala kuruhusu mtu mgeni kuingia kinyemela na kutoka kinyemela au kwa njia ya rushwa.ukipokea rushwa juwa na fahamu kuwa unatuangamiza Taifa zima kwa uroho wako tu wa pesa .

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona kauli za baadhi ya ma Rais wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki akiwepo Rais wa kenya Mheshimiwa William Ruto,wakipendekeza na kutaka kuondoa kabisa habari za mipaka baina ya nchi na nchi.yaani iwe ni kutembea na kuvuka tu bila kufuata taratibu za kisheria zilizopo na kuingia nchi nyingine.

Wazo na mawazo haya mimi siyaungi mkono na sitaki nchi yangu Tanzania iruhusu wazo hilo na kulikubali kwa haraka haraka pasipo maandalizi. Ikumbukwe ya kuwa ni Tanzania pekee ndio nchi inayomezewa mate na kila nchi mwanachama wa EAC. Hii Ni kutokana na utajiri mkubwa sana tulionao na tuliojaliwa kuwa nao Tanzania.kikubwa sana ni namna Tanzania tulivyopewa neema ya ardhi kubwa yenye rutuba na yenye kustawisha kila aina ya zao .ni rutuba kila eneo utakalo kwenda ni lazima ufurahie uumbaji wa Mungu na neema ya kipekee aliyotujalia .

Angalia nchi kama kenya ambako ardhi kwao ni kama dhahabu baada ya kuwa ardhi kubwa imemilikiwa na matajiri wakubwa na wanasiasa wakubwa na wakongwe na hivyo kuwaacha wananchi wake kubakia mikono mitupu.pia ni lazima tufahamu ya kuwa ardhi ndio utajiri namba moja kwa mwanadamu.chochote utakachotaka kuwekeza ni lazima uwekeze ardhini tu. Ardhi ambayo ni Tanzania pekee tulio nayo ya kutosha katika ukanda huu wa Afrika mashariki..

Kwa hiyo tukiruhusu kila sheria ikiwepo ya umiliki wa ardhi kiholela kwa wageni,mwisho wa siku tutakuja jikuta Watanzania tunabakia watumwa na vibarua kwenye ardhi yetu wenyewe ,pia tutajikuta hatuna mahali tena pa kulima hata mahindi ya chakula. Maana tusije shangaa hata serikali zao zikiwafadhili watu wao kwa mapesa mengi kuja kununua na kumiliki ardhi hapa nchini . tukija kushituka tunajikuta ardhi yote ipo mikononi mwa wageni huku sisi migogoro ya ardhi ikiendelea kushamiri ,baada ya kukosekana mahali pa kulima wala kuchungia mifugo yetu.

Kwa hiyo tuwe makini sana tena sana hasa kwa wafanya maamuzi na watunga na wapitisha sheria. Katika suala ambalo ningependa lizingatiwe na lilindwe kwa wivu mkubwa sana basi ni suala la ardhi yetu . Nawaombeni sana viongozi wetu kwa moyo wa unyenyekevu na heshima kubwa sana kwenu.tutunzieni ,tulindieni ardhi yetu kwa gharama yoyote ile. Ni bora waseme sisi ni vikwazo kwa jumuiya ya Afrika mashariki lakini tusiruhusu ardhi yetu imilikiwe na yoyote yule kutoka nchi yoyote ile.

Kwa umaskini wa watanzania wakiruhusiwa wauze kiholela ardhi kwa wageni watakuja watu na mapesa mengi sana mapya mapya na kukomba ardhi yote .pesa zinaisha lakini ardhi inabaki tu.kwa hiyo ni bora tubaki na umaskini lakini tuwe na ardhi tunayoweza kuitumia kujikwamua kiuchumi na kuupiga teke umasikini. Pia suala la kuingia kiholela nalo tusilikubali kirahisi maana amani ya nchi yetu ndio msingi wa maendeleo yetu.maana katika kuingia hovyo hovyo tunaweza kujikuta tunaingiza magaidi,majasusi, wapelelezi na hata watu wenye nia ovu ya kuvuruga amani yetu kwa kufanya Vitendo vinavyoweza kuwatisha watalii , wafanya biashara wakubwa na wawekezaji kuja Tanzania na hivyo kuharibu uchumi wetu.. Siyo kila mtu anayeipenda Tanzania na kufurahia amani tuliyonayo Tanzania .

Kwa hiyo ni lazima tuwe makini sana.ni lahisi amani kuondoka kuliko kuirejesha amani.ni Lazima tuwe makini katika kila sheria wanayotaka tuiridhie wenzetu hawa majirani zetu.ni bora tuseme sisi katika hili ngoja tukajadili ndani ya Taifa letu na tusikie wananchi wanasemaje. Watanzania ni lazima tuwe makini na shaka kwa kila sheria .tukiwa na mashaka na kila sheria inayotua mbele yetu maana yake tutakuwa makini katika kufikiri na kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.tuwe majeuri na wabishi na siyo kukubali kila kitu . Ni lazima hata wao watuogope na watuheshimu kwa kusema hii sheria au hili wazo sijuwi kama Tanzania itaridhia?

Ni lazima wajuwe kuwa Tanzania ina msimamo juu ya ardhi yake,amani yake,mipaka yake na uhuru wake.nchi zingine zinataka tukubali kila kitu ili mwisho wa siku sisi tuwe Jalala la kila kitu na uwanja wa fujo au mbuga ya wanyama. Mimi naipenda sana nchi yangu .katika suala la ardhi na kuingia kiholela mimi sipo tayari kabisa kwa sasa. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viendelee na kazi nzuri sana vinavyoifanya kila siku ya kulinda mipaka yetu kwa jasho na damu.

Visiruhusu nchi yetu ikawa wazi kwa kila mtu kupata taarifa za nchi yetu .nasi watanzania tuendelee kuwa wazalendo kwa kuchungana juu ya mtu tunayemtilia mashaka na kutoa taarifa kwa vyombo vyetu .lakini pia kujizuia kutoa kila taarifa kwa mtu ambaye hatumfahamu na wala hatujawahi kumuona. Askari wetu kuwa wazalendo na wenye kuzingatia viapo vyenu.msiuze siri za Taifa wala kuruhusu mtu mgeni kuingia kinyemela na kutoka kinyemela au kwa njia ya rushwa.ukipokea rushwa juwa na fahamu kuwa unatuangamiza Taifa zima kwa uroho wako tu wa pesa .

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ww jamaa huwa una mfumo wako "special" wa kufikiria! Sina uhakika kama huwa unafikiria kwa kutumia ubongo
 
Bila shaka wewe ni kibaraka na huna nia njema na Taifa letu.
Mkuu huwezi kuwa na haki pekee yako ya kutoa na kukosoa hoja za wengine halafu wengine wakikosoa au zodoa hoja yako unawaita vibaraka! Sio sawa!

Haki ni msumeno! Umeleta hoja yako, subiri ipopolewe kama msingi wake ni wa mawe itasimama na kama ni wa mabua utashuhudia ikiporomoka.

Mkuu tulia, dhihaka ya nini!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeona kauli za baadhi ya ma Rais wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki akiwepo Rais wa kenya Mheshimiwa William Ruto,wakipendekeza na kutaka kuondoa kabisa habari za mipaka baina ya nchi na nchi. Yaani iwe ni kutembea na kuvuka tu bila kufuata taratibu za kisheria zilizopo na kuingia nchi nyingine.

Wazo na mawazo haya mimi siyaungi mkono na sitaki nchi yangu Tanzania iruhusu wazo hilo na kulikubali kwa haraka haraka pasipo maandalizi. Ikumbukwe ya kuwa ni Tanzania pekee ndio nchi inayomezewa mate na kila nchi mwanachama wa EAC. Hii Ni kutokana na utajiri mkubwa sana tulionao na tuliojaliwa kuwa nao Tanzania.kikubwa sana ni namna Tanzania tulivyopewa neema ya ardhi kubwa yenye rutuba na yenye kustawisha kila aina ya zao .ni rutuba kila eneo utakalo kwenda ni lazima ufurahie uumbaji wa Mungu na neema ya kipekee aliyotujalia .

Angalia nchi kama kenya ambako ardhi kwao ni kama dhahabu baada ya kuwa ardhi kubwa imemilikiwa na matajiri wakubwa na wanasiasa wakubwa na wakongwe na hivyo kuwaacha wananchi wake kubakia mikono mitupu. Pia ni lazima tufahamu ya kuwa ardhi ndio utajiri namba moja kwa mwanadamu. Chochote utakachotaka kuwekeza ni lazima uwekeze ardhini tu. Ardhi ambayo ni Tanzania pekee tulio nayo ya kutosha katika ukanda huu wa Afrika mashariki..

Kwa hiyo tukiruhusu kila sheria ikiwepo ya umiliki wa ardhi kiholela kwa wageni,mwisho wa siku tutakuja jikuta Watanzania tunabakia watumwa na vibarua kwenye ardhi yetu wenyewe ,pia tutajikuta hatuna mahali tena pa kulima hata mahindi ya chakula. Maana tusije shangaa hata serikali zao zikiwafadhili watu wao kwa mapesa mengi kuja kununua na kumiliki ardhi hapa nchini . tukija kushituka tunajikuta ardhi yote ipo mikononi mwa wageni huku sisi migogoro ya ardhi ikiendelea kushamiri ,baada ya kukosekana mahali pa kulima wala kuchungia mifugo yetu.

Kwa hiyo tuwe makini sana tena sana hasa kwa wafanya maamuzi na watunga na wapitisha sheria. Katika suala ambalo ningependa lizingatiwe na lilindwe kwa wivu mkubwa sana basi ni suala la ardhi yetu . Nawaombeni sana viongozi wetu kwa moyo wa unyenyekevu na heshima kubwa sana kwenu.tutunzieni ,tulindieni ardhi yetu kwa gharama yoyote ile. Ni bora waseme sisi ni vikwazo kwa jumuiya ya Afrika mashariki lakini tusiruhusu ardhi yetu imilikiwe na yoyote yule kutoka nchi yoyote ile.

Kwa umaskini wa watanzania wakiruhusiwa wauze kiholela ardhi kwa wageni watakuja watu na mapesa mengi sana mapya mapya na kukomba ardhi yote .pesa zinaisha lakini ardhi inabaki tu.kwa hiyo ni bora tubaki na umaskini lakini tuwe na ardhi tunayoweza kuitumia kujikwamua kiuchumi na kuupiga teke umasikini. Pia suala la kuingia kiholela nalo tusilikubali kirahisi maana amani ya nchi yetu ndio msingi wa maendeleo yetu.maana katika kuingia hovyo hovyo tunaweza kujikuta tunaingiza magaidi,majasusi, wapelelezi na hata watu wenye nia ovu ya kuvuruga amani yetu kwa kufanya Vitendo vinavyoweza kuwatisha watalii , wafanya biashara wakubwa na wawekezaji kuja Tanzania na hivyo kuharibu uchumi wetu.. Siyo kila mtu anayeipenda Tanzania na kufurahia amani tuliyonayo Tanzania .

Kwa hiyo ni lazima tuwe makini sana.ni lahisi amani kuondoka kuliko kuirejesha amani.ni Lazima tuwe makini katika kila sheria wanayotaka tuiridhie wenzetu hawa majirani zetu.ni bora tuseme sisi katika hili ngoja tukajadili ndani ya Taifa letu na tusikie wananchi wanasemaje. Watanzania ni lazima tuwe makini na shaka kwa kila sheria .tukiwa na mashaka na kila sheria inayotua mbele yetu maana yake tutakuwa makini katika kufikiri na kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.tuwe majeuri na wabishi na siyo kukubali kila kitu . Ni lazima hata wao watuogope na watuheshimu kwa kusema hii sheria au hili wazo sijuwi kama Tanzania itaridhia?

Ni lazima wajuwe kuwa Tanzania ina msimamo juu ya ardhi yake,amani yake,mipaka yake na uhuru wake.nchi zingine zinataka tukubali kila kitu ili mwisho wa siku sisi tuwe Jalala la kila kitu na uwanja wa fujo au mbuga ya wanyama. Mimi naipenda sana nchi yangu .katika suala la ardhi na kuingia kiholela mimi sipo tayari kabisa kwa sasa. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viendelee na kazi nzuri sana vinavyoifanya kila siku ya kulinda mipaka yetu kwa jasho na damu.

Visiruhusu nchi yetu ikawa wazi kwa kila mtu kupata taarifa za nchi yetu .nasi watanzania tuendelee kuwa wazalendo kwa kuchungana juu ya mtu tunayemtilia mashaka na kutoa taarifa kwa vyombo vyetu .lakini pia kujizuia kutoa kila taarifa kwa mtu ambaye hatumfahamu na wala hatujawahi kumuona. Askari wetu kuwa wazalendo na wenye kuzingatia viapo vyenu.msiuze siri za Taifa wala kuruhusu mtu mgeni kuingia kinyemela na kutoka kinyemela au kwa njia ya rushwa.ukipokea rushwa juwa na fahamu kuwa unatuangamiza Taifa zima kwa uroho wako tu wa pesa .

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwani mama samia na ccm wanapendekeza nini? Angalia usipingane nao utaachwa.
 
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan ni mzalendo wa kweli ambaye uzalendo wake ni wa kuaminika mbele za watanzania. Tuna imani kubwa sana na Rais wetu.
 
Ungefahamu kwamba hii mipaka iliwekwa na wakoloni ungeweza kuwa na mawazo tofauti kulipo hayo.mawazo yako ndugu muoasha.mbwa
 
cheki huyu naye laiti ungejua mamipaka ya nchi hizi yanaingilika kiurahisi

hapa nilipo wanaishi warundi na waganda kibao wameingia bila vielelezo vyote vyote

hata mimi nimekuwa nikienda Uganda kupitia chocho tena kiulaini sana kutafuta mzigo maana mimi ni chinga

Hizo mipaka ni geresha tu

Wanaotumia vielelezo ni matajiri ila akina sisi Afrika Mashariki ni nchi moja
 
Mkuu nakuunga mkono! Kuongezea kidogo kwenye hoja yako ni kwamba kinachozungumzwa kuhusu kufungua mipaka ni kuondoa vikwazo vyote vya kikoloni kuruhusu urahisi wa watu na bidhaa kuingia nchi jirani wakati wowote!

Maana yake ni kwamba, kwa mfano wewe unavyopita chocho kwa chocho kuingia Ugunda, isiwe msala, hatia au kesi kwako ukutanapo na maaskari wa Uganda!

Hatua hii ni sehemu ya makubaliano katika mkataba wa Jumuiya ya Afrika mashariki kuelekea kuwa na sarafu ya pamoja, serikali ya pamoja na Taifa moja kuelekea kutimiza ndoto ya baba wa taifa Hayati J. K. Nyërrë!
 
Ungefahamu kwamba hii mipaka iliwekwa na wakoloni ungeweza kuwa na mawazo tofauti kulipo hayo.mawazo yako ndugu muoasha.mbwa
Kwa hiyo kama iliwekwa na wakoloni ndio unataka nchi yetu iwe kama choo cha sokoo kwa kila mtu kuingia tu bila utaratibu? Ndio mawazo yako hayo?
 
Back
Top Bottom