John Heche: CHADEMA wapo tayari kufanya mdahalo na CCM hata leo jioni

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,270
9,716
Ndugu zangu Watanzania,

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo yote ambayo wanayazungumza wao CHADEMA.

Ameyasema hayo kupitia East Afrika redio &Tv siku moja baada ya katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Mheshimiwa Paul Makonda kutaka mdahalo na viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe Mwenyewe.

Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.

Huo ndio ukomavu na siyo ule utoto wa kususa susa kama watoto waliodekezwa na wazazi wao.siasa ni hoja. leteni hoja zishindanishwe mezani na siyo kukimbia kimbi tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ni lini utakuwa na akili iliyo pevuka? Ndiyo unazeeka hivyo. Kuwa kada wa chama fulani hakumaanishi kutotumia akili ktk uchambuzi na uwasilishaji wa hoja.
 
Inakuwaje unaandika ujinga wako huu bila kueleza kwa hoja unakusudia kusema nini na inataka nini . Kwani hoja yangu wapi ilipo na makosa. kipi hujaelewa na hakijaeleweka katika kueleza taarifa ya John Heche na CHADEMA kuwa Tayari kwa mdahalo na CCM ikiongozwa na Mheshimiwa Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa?
 
Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.
Tukubaliane kuwa atakachoongea MAKONDA ndio utakua msimamo wa CCM. Kama ni hivyo sawa, msije mkasema baadae kuwa hayo ni mawazo yake binafsi
 
Acheni uoga na maneno maneno hapa .ninyi leteni timu uwanjani na siyo muda wote mpo kupandisha soksi.
 
Inakuwaje unaandika ujinga wako huu bila kueleza kwa hoja unakusudia kusema nini na inataka nini . Kwani hoja yangu wapi ilipo na makosa. kipi hujaelewa na hakijaeleweka katika kueleza taarifa ya John Heche na CHADEMA kuwa Tayari kwa mdahalo na CCM ikiongozwa na Mheshimiwa Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa?
Kwa akili yako finyu unadhani kuna mtu Chadema aliye na muda wa kupoteza kufanya mdahalo na Makonda? Heche amesema kufanya mdahalo na CCM. Labda Makonda afanye mdahalo na mwenezi mwenzie John Mrema. Sijuhi ni kwanini wewe ni mgumu kuficha ujinga.
 
Sasa kwa akili yako kisoda unafirikiri CHADEMA wanaweza kuhimili uzito wa hoja za Mheshimiwa Makonda? Unafikiri wana ubavu na uwezo huo? Au unafikiri mdahalo ni kama mazungumzo ya walevi wa pombe za kienyeji kubishana habari za simba na yanga?
 
Makonda katumia kauli moja tu.. ameshawatoa chadema kwenye mchezo.. Mawazo yameshatoka kwenye kwenye maandamano yamehamia kwenye mdaharo... Kuweni makini CDM
Makonda ni Mwamba wa siasa za kisayansi na kisasa.kwa sasa CHADEMA wanakimbizana na kukwepana .hawajui nani aende akakabiliane na mheshimiwa Makonda katika mdahalo maana wanajuwa uwezo mkubwa wa kihoja alionao mheshimiwa Makonda.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo yote ambayo wanayazungumza wao CHADEMA.

Ameyasema hayo kupitia East Afrika redio &Tv siku moja baada ya katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Mheshimiwa Paul Makonda kutaka mdahalo na viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe Mwenyewe.

Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.

Huo ndio ukomavu na siyo ule utoto wa kususa susa kama watoto waliodekezwa na wazazi wao.siasa ni hoja. leteni hoja zishindanishwe mezani na siyo kukimbia kimbi tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wamoe taarifa muhalifu? Huyo Makonda ushahidi wa uhalifu wake uko wazi, ila kwakuwa Yuko chama Cha wahalifu ni lazima alindwe kwa nguvu zote.
 
Mbowe ni wazi toto la kudekadeka kwa walezi wake.
 
Wamoe taarifa muhalifu? Huyo Makonda ushahidi wa uhalifu wake uko wazi, ila kwakuwa Yuko chama Cha wahalifu ni lazima alindwe kwa nguvu zote.
Polisi hupajuwi? Mahakama huzijuwi? Wanasheria huwajuwi?

Unangoja nini kulianzisha? Au na wewe mradi umeandika tu?
 
Hilo ni nyumbu lililojificha humu JF na kupiga mikwara mbuzi kila siku. huku barabarani akipachungulia kwa mbali kama kituo kikuu cha polisi kila tukimwambia aandamane..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom