CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,609
17,809

CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI

"Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi." - @JonMrema, Mkurugenzi wa Itikadi CHADEMA.
 
CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI

"Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi." - @JonMrema, Mkurugenzi wa Itikadi CHADEMA
View attachment 2873672
Kuna yule jamaa anapenda ku Comment job true true, hii nayo ni job true true
 
Kwani wakiachiwa waandamane, tena MAANDAMANO yenyewe ni ya AMANI na yameruhusiwe na KATIBA,kuna shida?..

Tumieni robo tu ya hao WANAJESHI kulinda hao RAIA WEMA wataoandamana dhidi ya WAKORA,period!
 
Chalamila zile siku Magufuli alishafariki ili kupoteza watu maboya ni Chalamila na Majaliwa ndio watu pekee waliosema wameongea na Magufuli na kusema yupo sawa na anawasalimu wananchi.

Tuweke rekodi sawa viongozi waongo kuendelea kushikilia ofisi ni dalili tosha za kufeli kiuongozi.
 
Kwani wakiachiwa waandamane,tena MAANDAMANO yenyewe ni ya AMANI na yameruhusiwe na KATIBA,kuna shida?..

Tumieni robo tu ya hao WANAJESHI kulinda hao RAIA WEMA wataoandamana dhidi ya WAKORA,period!
Ila jamaa waoga sana. Kwani wanaogopa nini?? Mimi sipati picha jamaa wakisikia maandamano wanachachawa sana. Ngoja tuone mwisho wa picha hili, Sterling atabaki salama?
 
Back
Top Bottom