BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,511
Ukiachana na Ndege, kuna tatizo kule Masaia Mara, hilo liliwahi kuibuliwa na mzungu mmoja anaishi Arusha.
Kule Masai Mara hawarusu gari zenye usajiri wa Tanzania kuingia hifadhini, na badala yake ukifika na gari ya Tanzania utaacha getini utachukua ya Kenya.
Cha ajabu sasa ukiwa na gari hata la Zambia, South Africa, Uganda, Rwanda unaingia bila tatizo. Wao hawaruhusu za Tanzania pekee.
Hii ishu ipo na sijui kama ilisha tatuliwa au la. Cha ajabu hifadhi za Tanzania wao wanarusu gari za Kenya kuingia.