Ni upi uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua zinanyesha?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wajumbe mko aje?

Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo. Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.

NAWATAKIA SIKU NJEMA
 
IMG-20231124-WA0055.jpg

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
View attachment 2873508

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
 
Wajumbe mko aje? Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo.Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.NAWATAKIA SIKU NJEMA
Uhalali upo. Ni halali kwa sababu raia wazembe, wana woga wa nyumbu na hawataki kuiwajibisha serikali.
 
Wajumbe mko aje? Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo.Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.NAWATAKIA SIKU NJEMA
Tunauza umeme kenya
 
View attachment 2873508
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Wana sababu 100000000 kidogo hawa

Ova
 
Wajumbe mko aje? Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo.Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.NAWATAKIA SIKU NJEMA
Tunashukuru mvua zinanyesha kwa wingi na vyanzo vya maji ya kuzalisha umeme kwakweli yameongezeka pakubwa inatia moyo sana juu ya uhakika wa uzalishaji wa nishati hii muhimu sana kwa jamii.

Hata hivyo mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi zinaendelea pia kuleta madhara na kuathiri miundombinu ya umeme kwa sehemu kubwa sana nchini.

Zinafanyika jitihada za hali na mali kurekebisha hali hiyo licha ya ugumu uliopo ili kusudi wananchi waendelea kunufaika na kufurahia nishati hii muhimu kadiri iwezekanavyo...
 
Wajumbe mko aje?

Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo. Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.

NAWATAKIA SIKU NJEMA
Huyu bibi kwakweli kashindwa kazi, umeme shida, reli imeisha lakini haifanyi kazi yaani kila Kona ni upigaji tuu, kabibi hakachukui hatua yoyote.namwomba Mungu atuondolee haka kabibi na kikundi chake.
 
Wajumbe mko aje?

Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo. Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea kunyesha hakuna sababu ya mgao wa umeme hata kwa nusu sasa.

NAWATAKIA SIKU NJEMA
Msipojua kukataa ujinga mtakubali kubutuzwa tu.Watu waliopo CCM ni tatizo kwa nchi.
 
Rais alitoa Ruhusa Mgao uendelee hadi June mwaka huu. Hiyo ndio maana ya resilience Kwenye zile 4R za mama kizimkazi
 
View attachment 2873508
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Kudadeki !!!
 
View attachment 2873508
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom