Ni kauli ya "kishamba" mno aliyotoa Chalamila, kuwa tarehe 24, majeshi yetu yote yatakuwa yanafanya usafi jijini!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,484
30,162
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye usafi!

Kustuka kwangu ni kuona Mkuu wa Mkoa, asivyoelewa majukumu ya Hawa walinxi wetu, Kwa kuwa Jeshi la Polisi nchini, wajibu wake namba moja ni kuwalinda Rais na Mali zao na JWTZ wajibu wao namna moja ni kulinda mipaka ya nchi yetu.

Nimuulize Mkuu wa Mkoa, Chalamila, hivi Kwa kuwataka hao Polisi wetu na askari wa JWTZ wafanye usafi wa Jiji, siyo kukiuka Katiba ya nchi?

Huyu aliyetoa kauli hii ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar na pia ameitoa kauli hiyo akiwa kanisani na ametoa kauli hiyo, baada ya kumsikia Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha siasa nchini Cha Chadema, kutoa kauli kuwa hiyo tarehe 24 watafanya maandamano ya amani, ambayo ni haki yao kikatiba kwa kuitaka serikali kuiondoa bungeni miswada 3 ya Sheria, Kwa kuwa hiyo miswada ni kiini macho!

Huyo Chalamila ndiye anayejaribu kuivunja Katiba ya nchi waziwazi Kwa kutaka kuleta taharuki nchini, Kwa kuwa siku hiyo aliyoyaagiza majeshi ya ulinzi nchini yaingie mitaani na kufanya usafi, ndiyo siku hiyohiyo ambayo Mwenyekiti wa Chadema ametangaza kuwa wanategemea kufanya maandamano ya amani.

Najua kuwa Chalamila, ametoa kauli hiyo ili kuwatisha wafuasi wa Chadema, wanaotarajia kuandamana siku hiyo, waingie hofu ya kuandamana.

Yeye Chalamila anajua fika kuwa taarifa aliyotoa Mwenyekiti wa Chadema, ni halali kabisa, Kwa kuwa ndani ya Katiba yetu ya nchi, inaruhusu kufanyika maandamano ya amani.

Hivi tukisema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, ndiye anayetaka kuleta uvunjifu wa amani ya nchi hii, nitakawa nakosea kweli?

Nimalizie Kwa kusema kuwa, kama amani ya nchi hii itapotea, basi Mkuu wa Mkoa wa Dar, awajibike Kwa kuitumbukiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu.

Tunamwomba Mungu aendelee kuilinda nchi hii, kutokana na hao viongozi wa Chama tawala na serikali yao, kutokana na hila zao za wakati wote za kutaka kuendelea kuitawala nchi hii bila kutaka kuondoka madarakani Kwa amani
 
Kati ya Chalamila ambaye katoa kauli kuwa tarehe 24 ni siku ya usafi Dar es salaam na Magufuli ambaye alizuia Maandano na mikutano ya siasa kwa miaka yote ya utawala wake huku yeye akifanya kila siku nani mwovu zaidi?
Mimi naona lawama na laana zote atupiwe Magufuli muasisi wa ushenzi katika nchi iliyostaarabika
 
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye usafi!

Kustuka kwangu ni kuona Mkuu wa Mkoa, asivyoelewa majukumu ya Hawa walinxi wetu, Kwa kuwa Jeshi la Polisi nchini, wajibu wake namba moja ni kuwalinda Rais na Mali zao na JWTZ wajibu wao namna moja ni kulinda mipaka ya nchi yetu.

Nimuulize Mkuu wa Mkoa, Chalamila, hivi Kwa kuwataka hao Polisi wetu na askari wa JWTZ wafanye usafi wa Jiji, siyo kukiuka Katiba ya nchi?

Huyu aliyetoa kauli hii ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar na pia ameitoa kauli hiyo akiwa kanisani na ametoa kauli hiyo, baada ya kumsikia Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha siasa nchini Cha Chadema, kutoa kauli kuwa hiyo tarehe 24 watafanya maandamano ya amani, ambayo ni haki yao kikatiba kwa kuitaka serikali kuiondoa bungeni miswada 3 ya Sheria, Kwa kuwa hiyo miswada ni kiini macho!

Huyo Chalamila ndiye anayejaribu kuivunja Katiba ya nchi waziwazi Kwa kutaka kuleta taharuki nchini, Kwa kuwa siku hiyo aliyoyaagiza majeshi ya ulinzi nchini yaingie mitaani na kufanya usafi, ndiyo siku hiyohiyo ambayo Mwenyekiti wa Chadema ametangaza kuwa wanategemea kufanya maandamano ya amani.

Najua kuwa Chalamila, ametoa kauli hiyo ili kuwatisha wafuasi wa Chadema, wanaotarajia kuandamana siku hiyo, waingie hofu ya kuandamana.

Yeye Chalamila anajua fika kuwa taarifa aliyotoa Mwenyekiti wa Chadema, ni halali kabisa, Kwa kuwa ndani ya Katiba yetu ya nchi, inaruhusu kufanyika maandamano ya amani.

Hivi tukisema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, ndiye anayetaka kuleta uvunjifu wa amani ya nchi hii, nitakawa nakosea kweli?

Nimalizie Kwa kusema kuwa, kama amani ya nchi hii itapotea, basi Mkuu wa Mkoa wa Dar, awajibike Kwa kuitumbukiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu.

Tunamwomba Mungu aendelee kuilinda nchi hii, kutokana na hao viongozi wa Chama tawala na serikali yao, kutokana na hila zao za wakati wote za kutaka kuendelea kuitawala nchi hii bila kutaka kuondoka madarakani Kwa amani
By the way, Chadema Huwa mnaandamana? Maandamano ya Mwambukusi na Mdude yaliishia wapi?
 
Mkuu sioni tatizo, majeshi yetu ni sehemu ya raia wa Tanzania. Ndugu Chalamila amemsaidia ndugu Mbowe kuwaalika raia maalum kuungana na wananchi na wafuasi wa upinzani kufanya maandamano!

Mkuu it is a positive move, na inaonyesha the power that Mbowe na Chadema waliyonayo! It is a good thing kuandamana na maaskari! Na kama watazuia wafuasi wa chama cha Chadema kuandamana basi maandamano yatafanikishwa na majeshi yetu!

Very smart move kwa Chalamila!
 
Msipige kelele bali nendeni Barabarani hiyo 24/01/24 mkakutane na waliyowaandalia.
Mkuu maandamano sio vita wala sio uvunjifu wa amani! Kwa nini wewe Great thinker hapa JF unafikiri kuwa ukitofautiana na mtu mawazo, na huyo mtu akataka kukuonyesha kutoridhika kwake kuhusu msimamo wako kwenye jambo hilo kwa njia ya amani, ufikirie anastahili kupigwa au kuumizwa?

Unahisi ni jambo jema kweli?

unahisi unafikiria sawa sawa?!!
 
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye usafi!

Kustuka kwangu ni kuona Mkuu wa Mkoa, asivyoelewa majukumu ya Hawa walinxi wetu, Kwa kuwa Jeshi la Polisi nchini, wajibu wake namba moja ni kuwalinda Rais na Mali zao na JWTZ wajibu wao namna moja ni kulinda mipaka ya nchi yetu.

Nimuulize Mkuu wa Mkoa, Chalamila, hivi Kwa kuwataka hao Polisi wetu na askari wa JWTZ wafanye usafi wa Jiji, siyo kukiuka Katiba ya nchi?

Huyu aliyetoa kauli hii ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar na pia ameitoa kauli hiyo akiwa kanisani na ametoa kauli hiyo, baada ya kumsikia Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha siasa nchini Cha Chadema, kutoa kauli kuwa hiyo tarehe 24 watafanya maandamano ya amani, ambayo ni haki yao kikatiba kwa kuitaka serikali kuiondoa bungeni miswada 3 ya Sheria, Kwa kuwa hiyo miswada ni kiini macho!

Huyo Chalamila ndiye anayejaribu kuivunja Katiba ya nchi waziwazi Kwa kutaka kuleta taharuki nchini, Kwa kuwa siku hiyo aliyoyaagiza majeshi ya ulinzi nchini yaingie mitaani na kufanya usafi, ndiyo siku hiyohiyo ambayo Mwenyekiti wa Chadema ametangaza kuwa wanategemea kufanya maandamano ya amani.

Najua kuwa Chalamila, ametoa kauli hiyo ili kuwatisha wafuasi wa Chadema, wanaotarajia kuandamana siku hiyo, waingie hofu ya kuandamana.

Yeye Chalamila anajua fika kuwa taarifa aliyotoa Mwenyekiti wa Chadema, ni halali kabisa, Kwa kuwa ndani ya Katiba yetu ya nchi, inaruhusu kufanyika maandamano ya amani.

Hivi tukisema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, ndiye anayetaka kuleta uvunjifu wa amani ya nchi hii, nitakawa nakosea kweli?

Nimalizie Kwa kusema kuwa, kama amani ya nchi hii itapotea, basi Mkuu wa Mkoa wa Dar, awajibike Kwa kuitumbukiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu.

Tunamwomba Mungu aendelee kuilinda nchi hii, kutokana na hao viongozi wa Chama tawala na serikali yao, kutokana na hila zao za wakati wote za kutaka kuendelea kuitawala nchi hii bila kutaka kuondoka madarakani Kwa amani
Ni Muhimu kujiongeza Akili ya kufikilia: Usalama namba Moja Duniani kote ni Afya za Raia. Mazingira ndiyo yanabeba kesho ya Afya ya Raia.
Majeshi huwa yanafundisha kwa Kufanya : Ili Ria wake Watunze Mazingira ni lazima Wafundishwe namna bora ya kutunza Mazingira. Na Wananchi Wakifundishwa kutunza Mazingira kwa kufanya Usafi hakika Kesho ya Afya zao itakuwa salama.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa kwa Lengo lake. Nikiwa Mwananchi nipo tayari kujifunza hilo
 
Kwani chalamila kazuia msiandamane
 
Hayo ni yako dhamira ni kufanya usafi ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu.
Namshauri Mbowe aheshimu tarehe 24 wawape nafasi Majeshi yetu kufanya usafi. Lakini maandamano wayasogeze nyuma tarehe 23 maana 24 ni fixed date amiri jeshi ameshatoa maelekezo....
 
Mkuu sioni tatizo, majeshi yetu ni sehemu ya raia wa Tanzania. Ndugu Chalamila amemsaidia ndugu Mbowe kuwaalika raia maalum kuungana na wananchi na wafuasi wa upinzani kufanya maandamano!

Mkuu it is a positive move, na inanyesha the power that Mbowe na Chadema wanayo! It is a good thing kuandamana na maaskari! Na kama watazuia wafuasi wa chama cha Chadema kuandamana basi maandamano yatafanikishwa na majeshi yetu!

Very smart move kwa Chalamila!
Smart or stupid move?
 
Ni Muhimu kujiongeza Akili ya kufikilia: Usalama namba Moja Duniani kote ni Afya za Raia. Mazingira ndiyo yanabeba kesho ya Afya ya Raia.
Majeshi huwa yanafundisha kwa Kufanya : Ili Ria wake Watunze Mazingira ni lazima Wafundishwe namna bora ya kutunza Mazingira. Na Wananchi Wakifundishwa kutunza Mazingira kwa kufanya Usafi hakika Kesho ya Afya zao itakuwa salama.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa kwa Lengo lake. Nikiwa Mwananchi nipo tayari kujifunza hilo

Smart or stupid move?
Mkuu kwa Chalamila, it is both depending on which angle you view him from!
 
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye usafi!

Kustuka kwangu ni kuona Mkuu wa Mkoa, asivyoelewa majukumu ya Hawa walinxi wetu, Kwa kuwa Jeshi la Polisi nchini, wajibu wake namba moja ni kuwalinda Rais na Mali zao na JWTZ wajibu wao namna moja ni kulinda mipaka ya nchi yetu.

Nimuulize Mkuu wa Mkoa, Chalamila, hivi Kwa kuwataka hao Polisi wetu na askari wa JWTZ wafanye usafi wa Jiji, siyo kukiuka Katiba ya nchi?

Huyu aliyetoa kauli hii ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar na pia ameitoa kauli hiyo akiwa kanisani na ametoa kauli hiyo, baada ya kumsikia Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha siasa nchini Cha Chadema, kutoa kauli kuwa hiyo tarehe 24 watafanya maandamano ya amani, ambayo ni haki yao kikatiba kwa kuitaka serikali kuiondoa bungeni miswada 3 ya Sheria, Kwa kuwa hiyo miswada ni kiini macho!

Huyo Chalamila ndiye anayejaribu kuivunja Katiba ya nchi waziwazi Kwa kutaka kuleta taharuki nchini, Kwa kuwa siku hiyo aliyoyaagiza majeshi ya ulinzi nchini yaingie mitaani na kufanya usafi, ndiyo siku hiyohiyo ambayo Mwenyekiti wa Chadema ametangaza kuwa wanategemea kufanya maandamano ya amani.

Najua kuwa Chalamila, ametoa kauli hiyo ili kuwatisha wafuasi wa Chadema, wanaotarajia kuandamana siku hiyo, waingie hofu ya kuandamana.

Yeye Chalamila anajua fika kuwa taarifa aliyotoa Mwenyekiti wa Chadema, ni halali kabisa, Kwa kuwa ndani ya Katiba yetu ya nchi, inaruhusu kufanyika maandamano ya amani.

Hivi tukisema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, ndiye anayetaka kuleta uvunjifu wa amani ya nchi hii, nitakawa nakosea kweli?

Nimalizie Kwa kusema kuwa, kama amani ya nchi hii itapotea, basi Mkuu wa Mkoa wa Dar, awajibike Kwa kuitumbukiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu.

Tunamwomba Mungu aendelee kuilinda nchi hii, kutokana na hao viongozi wa Chama tawala na serikali yao, kutokana na hila zao za wakati wote za kutaka kuendelea kuitawala nchi hii bila kutaka kuondoka madarakani Kwa amani
Hakuna shida , tutasaidiana nao kufanya usafi, pili uyu chalamila ajitazame sana na kauli haijui dunia , ipo siku hizi kauli zitakuja mtokea puani akiwa peke yake huko ICC asijue cha kufanya na kubaki ametoa macho tu , acha alete ujua kana kwamba dunia yote ni yake,

24 ni maanadamano ya amani sasa wakaingize watu wa kuvuruga nakuumiza watu, kila mkuu wa chombo kitakacho husika ni kubuluzwa ICC mda wa mchezo umeisha
 
Namshauri Mbowe aheshimu tarehe 24 wawape nafasi Majeshi yetu kufanya usafi. Lakini maandamano wayasogeze nyuma tarehe 23 maana 24 ni fixed date amiri jeshi ameshatoa maelekezo....
Ikionekana inafaa usafi unaweza kufanyika hata mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom