Maoni kama yalivyotolewa na Askofu Dr Bagonza kuhusu Miswaada mitatu na hatima ya Demokrasia Tanzania

View: https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo

Miswaada hiyo ni
1. Tume huru ya Uchaguzi.
2. Sheria ya Vyama vya siasa
3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.

Dkt Bangoza anasema ikiwa serikali na waday hawako tayari kufanya marekebisho ya Katiba ya Mwaka 1977 basi maoni yanayokusanywa na Kamati ya Bunge yatakuwa hayana maana na hivyo ni upotevua wa Muda na rasilimali.
 
View: https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo

Miswaada hiyo ni
1. Tume huru ya Uchaguzi.
2. Sheria ya Vyama vya siasa
3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.

Asante kwa maoni haya, ya ELCT Karagwe, ila maoni rasmi ya Kanisa KKKT, yalitolewa Dodoma na Dr. Fredrick Shoo.
View: https://youtu.be/lVcGJIsWZ9g?si=01W9MU-e58N_33-2

Yuda Tadei Ruwaichi kama katibu Mkuu wa TEC, Father Charles Kitima anavyoeleza.
View: https://youtu.be/X_R1hU7nF8c?si=zBt6jOktWT9nOONM
P
 
Siongezi wala kupunguza
Pongezi kwa uzi huu wa Askofu Bangoza unalolitakia taifa letu mambo mema na lisitekwe nyara na chama au kiongozi mmoja.

Inatakiwa sasa mjadala mpana nje ya Tume ya Kudumu ya Bunge utawala, sheria na katiba upambe moto kila siku hadi elimu hii ya uraia, haki na demokrasia ieleweke ndani ya Bunge la chama kimoja watapokutana tarehe 30 January 2024 bunge lighairi miswada pendekezwa iliyosomwa November 2023, na kutamka miswada hiyo ni mibovu hivyo itupiliwe mbali.

Na serikali iiagizwe na Bunge iandae miswada mingine mipya inayozingatia maoni yaliyosikika mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge na mijadala endelevu ambayo inaendelea kwa kasi katika jamii kwa sasa inayokosoa miswada iliyopo na kuwapa mwanga jambo gani sahihi lifanyike bila kujali vyama.
 
Chama tawala hawatakubali........hayo.maoni ni alimradi liende tu.....hakuna watakachochukua hata kimoja.
 
Asante kwa maoni haya,

Maoni ya baba askofu Bagonza ni ya raia na hili si baya kwa mtu mmoja mmoja pia kutoa maoni bila kufungwa au kutekwa nyara na taasisi, chama au mtu mwenye mamlaka makubwa.

Taifa pia linahitaji watu-huru raia wengi mmoja mmoja wanaoweza kujadili, kutoa maoni na mapendekezo bila woga ili mjadala mpana ufike katika ngazi ya familia, kijiwe, mtaa, kijiji, kata, tarafa na kona zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom