Na Thadei Ole Mushi
Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.
Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa...
My Take
Sina shaka na mualiko ila Sasa Nina wasiwasi na tabia za Papa kuhusu masuala ya 🌈
https://www.instagram.com/p/C2XF0DDNYey/?igsh=dDgzcm5kOGh6Z3Bw
Yaani sahv Tanzania mambo yote ya hovyo yamerudi
Serikali isiyojali
Utawala wa wenye nchi na wala nchi
Viongozi wasiojali tena na wasio na hofu ya Mungu
Serikali isiyojali wananchi
Rushwa...
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka...
Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:-
1. Bei za nauli zinapanda bila kujali...
Mara nyingi watawala sehemu nyingi duniani hujificha katika kupanda kwa bei ya mafuta kama sababu za mfumuko wa bei nchini mwao lakini kwa sasa mafuta hayajapanda bei duniani kwa muda mrefu ila...
Siku hizi, baadhi ya wanaCCM wajinga wamekuwa wakiangamiza CCM, huku wenyewe wakiamini wanaisaidia.
Siku hizi, mara nyingi mtu akiongelea haki au demokrasia, wanaCCM hao wajinga utawasikia...
Ndugu zangu habari za leo.
Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema.
Hii inatokana na Chama hicho kuwa na...
Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje?
Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
@rosemuhandoofficial5676
3 hours ago
Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili...
Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa...
Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake...
Inashangaza na kusikitisha kwamba Viongozi wa Serikali wenye dhamana kuanzia Mawaziri Hadi Watendaji wa Vijiji Kushindwa kutatua Changamoto za Wananchi ambao wanawahudumia Kila siku badala yake...
Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa...
Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi...
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,
Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
Kwa...
hali si hali ni mbaya kuliko wakati wowote ule, hii itakuwa ni moto mkali, sisi wengine tutatoa tu pole kwa majeruhi, mkataba haubadilishwi kiraihisi, kuna watu hii dunia hawaielewi, wanafikiri...
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.
Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.