Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga amepora nyumba ya mtu mjini Tanga. Sasa tumeanza kujua kuwa waporaji na majambawazi wa nchini wengi wao wantoka CCM. Tazameni scenario mzima.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote. Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi...
4 Reactions
4 Replies
809 Views
Kwa maono yangu naona wanaoumia na kuumizwa ni watendaji wa Serikali pekee huku wanasiasa wafanya figisu wakiachwa wanapeta. Ndugu Makonda unapoita katika ziara yako muhimu ya kichama hakikisha...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa. Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
13 Reactions
162 Replies
27K Views
"Mtu mjinga, asiye na hoja wala ushawishi, hutumia dini na Ukabila. Unamwuliza, kwa nini tumchague huyu? Anasema, kwa sababu ni wa dini yetu. Kwa sababu ni wa kabila letu" - Mwalimu Nyerere...
25 Reactions
129 Replies
5K Views
Labda mnikumbushe Leo Wakuu wote wa Mihimili ya DOLA wameshuhudia Askofu Dr Malasusa akiwekwa kitini kama Mkuu wa Kanisa la KKKT Rais wa JMT mh Dr Samia alikuwa mgeni rasmi Spika wa Bunge Dr...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024. Kama ni kweli tumuombee. Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amebanwa kuhusu kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kujikarabatia tu ofisi yake huku kukiwa na upungufu mkubwa wa miundombinu ya kufundishia na fedha ya kufidia...
5 Reactions
78 Replies
13K Views
Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ili kuleta maendeleo ya kweli,napendekeza yafuatayo:- 1.Tubadilishe mfumo wa ajira ili watu wengi wavutiwe na ajira za kwenye sekta za kilimo,afya na elimu. Ifike mahala mtu aone kuwa mwanasiasa...
3 Reactions
5 Replies
449 Views
Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Baada ya mwenyekiti wa Chadema taifa kutangaza maandamano ya amani January 24, 2023 ilichukua dakika 40 tu kwa mkuu wa mkoa Dar kujibu maandamano hayo ya CHADEMA. Tena alilazimika kutumia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwanza nitoe pole kwa kifo cha mchungaji mzee wetu mwaisapila "Babu wa loliondo." Nije kwenye ajenda husika. Babu wa loliondo aliutangazia umma kuwa kaoteshwa na mungu dawa ya kutibu magonjwa...
4 Reactions
5 Replies
917 Views
Back
Top Bottom